mpya Hadija Kalili
Wadau mambo vipi,
Naomba mnipokee mwanablog mpya. Blog yangu ni:
natanguliza shukrani zangu kwemu wote.
Hadija Kalili
-------------------------------------------
Globu ya Jamii inamkaribisha na kumpongeza Da' Hadja Kalili katika libeneke. Inafurahisha kuona kada ya kinamama kwenye libeneke inazidi kuongezeka na ni matumaini yetu kwamba wengine zaidi watafuata nyayo na kupanua wigo wa kupashana habari kwa njia hii
-Michuzi
Karibu kwenye libeneke. Ila hii picha sijaipenda mbona unaonekana umechoka.
ReplyDeleteNapenda kutoa angalizo kwa wanaofungua blogu, sisi wapambe tunataka vitu vipya kila siku. Leo nimeingia kwenye blogu hii hakuna jipaya zaidi ya mambo kiduchu yaliyowekwa jana. Kuwa na blogu si starehe, ni aina ya uwekezaji unaohitaji mtaji na kujituma kwa sana.
ReplyDeleteNkyabo- Bongo
Hi Michuzi!
ReplyDeleteEndelea kumjengea uwezo binti huu na kumpa idea nzuri asikate tamaa.
Mwenyezi Mungu atakujalia.
Hadija Da Salma yuko wapi siku hizi namtafuta sana. Tulipoteana babaenu alipopata uhamisho kule znz, nisamehe kama utakuwa sio wewe.
ReplyDeleteBint Mhina
mmmh! me chichemi naawaachiwa waosha vinywa! maana me nilitegemea kuona mambo ya wkend km akudo/fm au twanga wakisugua kisigino! lkn mmh! kaazi kweli kweli!
ReplyDelete