Mwanalibeneke
mpya Hadija Kalili
Wadau mambo vipi,

Naomba mnipokee mwanablog mpya. Blog yangu ni:
natanguliza shukrani zangu kwemu wote.
Hadija Kalili
-------------------------------------------
Globu ya Jamii inamkaribisha na kumpongeza Da' Hadja Kalili katika libeneke. Inafurahisha kuona kada ya kinamama kwenye libeneke inazidi kuongezeka na ni matumaini yetu kwamba wengine zaidi watafuata nyayo na kupanua wigo wa kupashana habari kwa njia hii
-Michuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 15, 2010

    Karibu kwenye libeneke. Ila hii picha sijaipenda mbona unaonekana umechoka.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2010

    Napenda kutoa angalizo kwa wanaofungua blogu, sisi wapambe tunataka vitu vipya kila siku. Leo nimeingia kwenye blogu hii hakuna jipaya zaidi ya mambo kiduchu yaliyowekwa jana. Kuwa na blogu si starehe, ni aina ya uwekezaji unaohitaji mtaji na kujituma kwa sana.

    Nkyabo- Bongo

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2010

    Hi Michuzi!

    Endelea kumjengea uwezo binti huu na kumpa idea nzuri asikate tamaa.
    Mwenyezi Mungu atakujalia.

    ReplyDelete
  4. Binti MhinaJuly 15, 2010

    Hadija Da Salma yuko wapi siku hizi namtafuta sana. Tulipoteana babaenu alipopata uhamisho kule znz, nisamehe kama utakuwa sio wewe.

    Bint Mhina

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 16, 2010

    mmmh! me chichemi naawaachiwa waosha vinywa! maana me nilitegemea kuona mambo ya wkend km akudo/fm au twanga wakisugua kisigino! lkn mmh! kaazi kweli kweli!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...