wadau wakiwania kula bingo kwenye viwanja vya maonesho ya SabaSaba vya mwalimu nyerere barabara ya Kilwa road jijini Dar leo
kila mtu yuko bize kuweka alama inayotajwa
ukipatia alama zote zinazotajwa unakula bingo
baada ya kutembelea mabanda ni wakati wa mapumziko kwa watoto na vijana hawa
kinadada wa banda la Heineken wakielekea kazini





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2010

    wadada wa heineken vivazi vimewatoa kweli wanavutiaaaaaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...