Mdau Prudence Benedict Kahatano akipozi baada ya kula nondozzz yake toka Chuo Kikuu cha Univesity of Portsmouth, UK. wikiendi ilopita katika ukumbi wa Guildhall Portsmouth. Nondozz hiyo ni ya BSC(HONS) PROPERTY DEVELOPMENT WITH QUANTITY SURVEYING.
Mdau Kahatano akiwa na Personal Tutor wake
Dr Gim Kempton wakati wa mahafali hay0

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2010

    Hongera, Mdau. Wabongo kwa aibu ya kutazama kamera tu hamjambo. Tutor anatazama kamera, wewe mwenye picha uko interested kutazama majani pembeni! Unaharibu picha...

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    Ulikuwa unatakiwa kuwa unakula nondos za PhD toka umekaa Uk inamaana Masters ukianza sasahivi utamaliza karne ijayo hongera thou.
    Sasa vibibi care utaacha?
    Usinibanie

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2010

    jamani ni university of porstmouth sio chuo kikuu cha university of portsmouth

    ReplyDelete
  4. MTU UKIWA NA PERSONAL TUITOR INA MAANA KUWA a. EITHER NI MGUMU SANA KUELEWA KWA HIYO ANATAFUTIWA PERSONAL TUITOR ILI ALE NAYE SAHANI MOJA (ONE ON ONE) AU b. ANA PESA NYINGI SANA KIASI CHA KUAJIRI MTU WA KUMFUNDISHA ONE ON ONE.......MIMI NDIYO UFAHAMU WANGU HUU

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 21, 2010

    Mimi nilipoona picha kabla ya kusoma nilifikiri amepata PHD!! Kumbe undergraduate!!! Au ndo kisomo cha watu wazimaaa? Anyway, hongera na kama una moyo wa kusoma kesho asubuhi anza kuaply masters.


    Nkyabo- Bongo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 21, 2010

    Lemme see: Bachelor at 45, Master's at 50, PhD at 55. Sio mbaya, ukirudi Bongo utatesa ila tafuta darasa lingine. Sio survey degree yako haina kivua bongo. Watu tuna MBA za UCLA lakini bado tumekwama.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 21, 2010

    hongera kaka,hiyo field yako wachache sana bongo na real estate ndio inaingia kwa hiyo pls back home uje muweke misingi imara ya hii industry na ukiona wabongo wanakuzingua nenda kwa kagame yeye anathamini taaluma za watu kule utafanya makubwa na utaishi vizuri tuu

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 21, 2010

    Kila mtu na mawazo yake na uamuzi wake huyu mdau sio kwamba hajasoma huyu anataaluma katika steam Engineering, hivyo aliamua kubadiri taaluma na huyu mdau ameishafanyakazi sana nchini na nchini Malawi hivyo msipende kukandia wenzenu wakati wengine hamuwezi, kuwa na personal tutor ni mpango wa kila University sio kwamba mwanafunzi hana hela nyingi au hajiwezi darasani huku ni kutokuelewa mambo. Wadau kumbuka watu wakisoma sio wanataka kufanya kazi bongo hili sio kweli kwasababu course nyingi Europe katika University za kweli ziko credited na bodies huyu jamaa anaweza kufanya kazi sehemu yoyote duniani, na hapa anahitaji masaa mianne kuwa MRICS,huu ni uzito kuliko PhD,wabongo tujue namna ya kufupisha kusoma. Mdau usa

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 21, 2010

    WEWE KILO, KWELI UFAHAMU WAKONI FINYU,INAONYESHA HUJUI MAANA TUTOR. BORA UNGEULIZA MAANA YAKE NINI KULIKO KUTOA MAANA YA HUKO KWENU KUGURUNYEMBE/TANDALE/MSOLOLO.ALAAAAAA!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 21, 2010

    Ndio maana mara nyingi sishangazwi na Tanzania kuendelea kuwa nchi maskini kuliko nchi nyingine yoyote duniani hii ni kutokana na ufinyu wa akili tulionao. Huu ulikuwa ni wakati mzuri kwa wadau kumpongeza kamanda wetu sio kupiga vijembe. Siku zote elimu si tu kuajiliwa elimu ni ufahamu. Wivu tu. Kamua kaka

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 21, 2010

    kama mdau angekuwa amemaliza mapema angewasaidia Takururu katika kesi yao na Liyumba katika kuangalia thamani ya jengo pacha la Bot na kuwaeleza maana ya schedule 2quatation in therelevant matter hapa Liyumba angekuwa na kesi ya kujibu katika kufanya maamuzi makubwa kwenye mchoro wa majengo hayo, ninauhakika mdau atakuwa anaufahamu na contract administration under jct 2005.
    mdau uk.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 22, 2010

    aisee humu bloguni raha sana...

    ReplyDelete
  13. Hallo kusoma hakuna muda maalumu ndiyo ukaambiwa elimu haina mwisho. Ule muda ambao una-fill kwamba unahitaji elimu fulani basi unafanya hivyo. Hongera sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...