MISS EAST AFRICA 2010 RANDA SHELBY
TOKA ERITREA AKISHEREHEKEA BAADA
YA KUTAWAZWA WIKIENDI HII LONDON
WASHINDI WA MR & MISS EAST AFRICAN 2010. MSHINDI WA MR EAST AFRICA NI DAWGGIE TOKA ETHIOPIA WAREMBO
FYAH SISTER FIRST LADY URBAN PULSE'S
WASHIRIKI KATIKA GWARIDE LA UFUNGUZI
7. WASHUNDANI WAKIWA KATIKA MAVAZI YA KITAMADUNI
TOKA KUSHOTO- URBAN PULSE MANAGING DIRECTOR BARAKA BARAKA,TV PERSONALITY SPORAH NJAU,LANDLADY LUCY NA YOUNG MOOGS

URBAN PULSE'S PRINCESS ORDAIN NA YOUNG JOSH WAKIFUNIKA
KUNDI LA UTAMADUNI TOKA ZIMBABWE
MC MOSEH NA URBAN PULSE

WAGENI NA WASHINDANI










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2010

    teh teh teh aaaaaanha!! PAJAZZZZZ doh salaaaale!! man thank u veeeeery very very much
    mdau wa pajazzzzz+titizzzzz

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2010

    hivi mlitegemea nini kushindanisha wabogo waganda na watu wa ethiopia eritria hao wa habeshi wako bomba sana kwa muonekano hata wasipijipamba kila mwaka watawashinda tu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2010

    Sasa Wa Ethiopia na Eritrea nao ni Wa- East Africa? How do they qualify to participate while their countries are not a member of East African affiliation? mmehujumu tu ushindi wa wasichana wetu warembo wa Ki- Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi. Kila mashindano lazima yawe na vigezo...Waandaji hovyo!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 06, 2010

    Mwananyamala na vibaka

    Kwa upande wa Mwananyamala, wakazi wa eneo hilo wamelalamikia ongezeko la vibaya na kulitupia lawama Jeshi la Polisi kwa kushindwa kukabiliana na vitendo vya uhalifu vinavyoendelea kutokea eneo hilo.

    Siwema Juma, mkazi wa eneo hilo alisema, kila kukicha eneo hilo kumekuwa na ongezeko la vibaka ambao wamekuwa wakiwaibia wakazi na wapita njia.

    Alisema baadhi yao hujifanya kuwa ni wapiga debe ambao wamekuwa wakiwaibia abiria.

    Siwema alisema vibaka hao wanazidi kushamiri katika eneo hilo na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa.

    Mwanyekiti wa Serikali za Mtaa, Kitwana Katembo, alisema mara kwa mara wamekuwa wakiwakamata wahalifu na kuwachukulia hatua.

    Hata hivyo, alisema hivi sasa kuna unafuu kulinganisha na kabla ya Januari.

    Alisema ndani ya mwaka huu matukio yanayojitokeza zaidi ni ya uporaji wa simu.

    Eneo lingine ambalo linatisha kwa uhalifu ni Jangwani ambapo wakazi wake wamesema kuwa eneo hilo kuanzia Magomeni hadi Faya sio salama.

    Licha ya kutoa taarifa kwenye jeshi la polisi eneo hilo bado ni hatari.

    Baadhi ya wakazi wa jiji wakizungumza na gazeti hili, walisema bado tatizo hilo linaendelea eneo hilo na kwamba wanaoibiwa mara nyingi ni wanawake.

    Mkazi wa eneo hilo aliyejitambulisha kwa jina moja la Mwajuma, alisema kuwa kuna uhalifu wa kutisha katika maeneo ya Magomeni hadi Jangwani.

    Wakazi wengine wanasema inapofika saa moja usiku ni hatari kuvuka eneo hilo kwa miguu na kwamba hali ni kama hiyo majira ya afajiri.

    Aidha, wanasema vibaka wanapora watu simu, mikufu, mikoba ya na mali nyingine za wanaokuwa kwenye magari na kukimbia.

    Wakati wakazi wakilalamikia hali hiyo, Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Magomeni, Shawedi Abdallah, alisema uhalifu katika eneo hilo umepungua kulinganisha na miaka ya karibuni.

    Tabata Relini moto

    Eneo la Tabata Relini nalo linatajwa kushamiri kwa uhalifu ambapo wakazi wameliomba Jeshi la Polisi kuweka ulinzi katika kituo cha Tabata Relini kufuatia eneo hilo kushamiri vibaka na kufanya uporaji.

    Wakazi hao walisema vitendo vya uhalifu vimezidi kushamiri katika kituo cha daladala na kwamba kila siku watu wanaporwa vitu ikiwemo simu, mikoba na kuachiwa majeraha mwilini kwa kuchanwa na vitu vyenye ncha kali.

    Amina Omary, mkazi wa eneo hilo alisema wanawake wanaongoza kwa kufanyiwa uporaji na vibaka ambao amedai wanaofanya vitendo hivyo ni vijana wanaotumia dawa za kulevya.

    Alisema ingawa polisi wanafahamu eneo hilo ni hatari, hawaweki ulinzi wakati wa usiku.

    “Polisi wanafahamu eneo hili lina vibaka lakini hawaweki ulinzi na kila leo watu wanaporwa ikifika saa mbili usiku tunaogopa kusimama kituoni kusubiri usafiri,” alisema.

    Balozi wa Nyumba 10, Juma Selemani, alisema vitendo vya ukabaji katika eneo hilo ni tatizo sugu na watu ambao sio wenyeji wa eneo hilo wanaporwa kwa kutokana na kutofahamu kuwa muda wa usiku eneo hilo ni hatari.

    Alisema ili kukomesha vitendo hivyo eneo hilo ameliomba Jeshi la Polisi kufanya ulinzi na kuwakamata wapiga debe na kuongeza kuwa ndio wahusika.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 06, 2010

    naona ma BP tu hapo, jamani tuangalie tunavyokula vitu manake mapochopocho yanaua tuwe macho tuzingatie sana kwenye kula matunda, mboga za majani na mazoezi sana.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2010

    mdau unajua kama elitrea na ethiopia ni ziko africa mashariki zaidi hata kuliko tanzania,burundu na rwanda.tanzania iko east southern africa,rwanda na burundi ni east central africa,ndo maana tz ni member wa sadc pia,sehemu ya tanzania iliokuwa east africa ni kuanzia arusha,moshi,tanga,dar es salaam,zanzibar,mwanza,bukoba.nchi kama rwanda ni east central africa

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2010

    east afrika???ethipia

    sikujua hili so tuko nchi 7 EAC...
    mweeee

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 08, 2010

    Sporah alikua one of the judge jamani angemsaidia mbongo wetu apite.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...