Wanafunzi wa Alliance Francaise wakiwa katika moja ya makumbusho huko Bagamoyo.Makumbusho hayo hutumika katika matambiko na ni vivutio vikubwa kwa watalii wa nje na ndani.
Wanafunzi pamoja na walimu wa Alliance Francaise wakiwa wanapata maelezo kutoka kwa mwenyeji wao katika makumbusho hayo Bagamoyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2010

    RAUL MADRID a.k.a RAULISTA
    Raul Gonzalez leaves Real Madrid for greener pastures. Left for our memories are the 15 years that he suited up for Real Madrid. Fifteen years of goals, triumphs and titles that made number '7' an institutional icon. Relive the career of Raul, the player who became a legend and who will forever live in the hearts of Madridistas.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2010

    Yes Pascal, how are you doing I can see you there! say Hello to Jane and Ites

    ReplyDelete
  3. Mzee Samahani Kejeri yuko wapi siku hizi? Yeye ndo Encyclopedia wa Bagamoyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...