Home
Unlabelled
wosia wa baba wa taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
How nice!! wangechapwa wengi miaka hii kuanzia nyumba nyeupe mpaka mjumbe wa nyumba kumi. Wangechwapwa wengi watu wangewaonyesha wake zao, waume zao, na mabibi zao!!!
ReplyDeletehotuba za Baba wa Taifa za miaka ya 60,70,80 ziko wapi?
ReplyDeletewosia(was here)
ReplyDeleteDad, was Julius Nyerere a dictator?
ReplyDeleteThe number one reason why Tanzania is a poor nation. A great humanist but also a dictator. Like him or hate him.
ReplyDeletewhy is there western music in the back ground? would it have been Nyerere's choice?
ReplyDeleteNyie wapuuzi hapo juu mnaomdhalilisha baba wa taifa kumpa majina yasiyo na msingi naona mnahitaji kurudi shule mkasome historia ya Tanzania then jikumbushe historia ya Afrika then you will appreciate kuwa na kiongozi kama baba yetu Nyerere. Hata waafrika wengine wanasema wazi kuwa watanzania tumepata bahati sana ya kupata kiongozi aliyeijenga nchi kwa kudumisha mambo ya msingi. Forget about utajiri lakini niambi wewe kama umetembea nchi nyingi za afrika umona hali ya maisha ya watu ikoje i mean the basic needs za watu, je kuna miji kama ya tanzania na huduma zote muhimu kupatikana? Ukienda bukoba, dodoma, shinyanga, mbeya na ukataka huduma ya bank au posta au maji safi, umeme utapata. Nenda nchi zingine za afrika ukiishatoka makao makuu tuu ya serikali ndiyo kalagabaho! Hapo sijazungumzia amani na upendo uliopo kati yetu. Karibu bara zima la Afruika lipo kwenye vita baridi mara waislamu wanauwana na wakristo, mara kabila hii inapigana na kabila hii. Please jamani hembu tujfunze kuchambua mambo kwa kutafakari kuliko kuandika pumba zisizo na mifano. Nyie mlioandika upuuzi si ajabu mmesomeshwa na huyo Nyerere. Wapi in Africa mtoto wa mkulima anapata nafasi ya kusoma hadi chuo kikuu bure ili mradi amefaulu mtihani?? Mimi ni mmoja wa watanzania wengi wazazi wetu wapo vijijini na hawamjui mtu popote lakini jitihada yangu kimasomo imeniwezesha kusoma kwa gharama za serikali hadi degree ya mwisho PhD na kuweza kujikwamua kimaisha na kuwakwamua wazazi wangu kimaisha. Wapi utakuta mfumo kama huu? Kama wewe si kabila fulani au dini fulani ndiyo imetoka hivyo.Jaribuni kutoka nje ya nchi hata kwenye mikutano tuu na ukutane na watu wa nchi nyingine na usikie wanachosema kuhusu Baba wetu wa taifa na nchi yetu kwa ujumla. Ametujengea heshima ndani na nje ya nchi! Mungu amlaze mahala pema baba yetu!
ReplyDelete