Mdau Andendekisye Mbije na mai waifu wake
Rosemary Eusters baada ya kumeremeta hivi karibuni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Mnapendeza kama mapacha vile!

    ReplyDelete
  2. KAMA VIPI MMEPENDEZA

    ReplyDelete
  3. Milionea Mbije na Mywife wako mmependeza sana. Nawatakia maisha mema.
    Mdau

    ReplyDelete
  4. Poda usoni kwa bridegroom???. hii inakaaje???

    ReplyDelete
  5. what a coincedence! namfahamu andendekisye mwingine dodoma huko nae alimuoa dada anaitwa rosemary, lakini hiyo ilikuwa mwaka 1990. hongereni maharusi.

    ReplyDelete
  6. Kwa hakika wamependeza maarusi. Picha nzuri alafu na wenyewe walivyo photogenic, yaani wanapendeza mno. Hongereni sana

    ReplyDelete
  7. Sio Poda, hizi picha zimehaririwa,computer software imetumika kuondoa kila kovu au kipele kwenye ngozi na kufanya ngozi yote ionekane nzuri.

    Hata wewe mwenye sura na ngozi mbaya picha yako inaweza kufanyiwa mambo ukaonekana mzuri.Ni masuala ya technology.

    ReplyDelete
  8. Pictures are too fake. Extensive photoshop was used.

    ReplyDelete
  9. Sio siri mtakwimu umewakilisha vyema.Hizi snap ni za ukweli papaaaaa!!! Anayebisha ni wivu tu.

    ReplyDelete
  10. Sio siri mtakwimu umewakilisha vyema.Hizi snap ni za ukweli papaaaaa!!! Anayebisha ni wivu tu.

    ReplyDelete
  11. Kibingwa zaidi,nimependa sana man.Be gud

    ReplyDelete
  12. Kaka Andendekisye nimefurahi sana kukuona ukiwa umefunga ndoa kwani mara ya mwisho nilikuona ukiwa unamaliza primary school pale magereza.Hongera sana bro!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...