Wasanii wa muziki toka nchini Nigeria wanaundao kundi la Blacket tona nchini Nigeria,wakiwasili katika uwanja wa ndege wa J.K. Nyerere usiku huu tayari kwa shoo kubwa ya Fiesta Jipanguse pale Lidaz klabu.
hapa wakishoo lavu mbele ya kamera ya Globu ya Jamii usiku huu katika uwanja wa ndege wa J.K. Nyerere intaneshno eapoti mara baada ya kuwasili usiku huu.
Home
Unlabelled
Blacket watua Dar tayari kwa shoo ya fiesta jipanguse
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mbona unawaharibia wenzako jina- ni Bracket, sio Blacket- shuwain!
ReplyDeleteumeme ulikatika nini mbona giza giza!! watu walio zoea ma mji kama NEw York ma taa full ukishuka bongo airport anaweza zani kuna blackout hahahahahhahhaha teh teh teh
ReplyDeleteUuuuuuuuwiiiii sema tu mie mambo ya mikusanyiko not reachable but wud hv loved to see them perform especially my favourite songe ada owerri (ft J Martins).. Nitawafuata Lagos!! Bracketiiiii deeeeeey
ReplyDelete