Mbunge wa Mtera, mH. John Malecela, ambaye ameliongoza jimbo hilo kwa miaka zaidi ya 25, LEO amekwaa kisiki kutoka kwa Katibu wa UVCCM wilaya ya Tarime, Livingstone Lusinde.
Malecela alipata kura 3,326 katika kata 13 kati ya 19 wakati mpinzani wake Lusinde amepata kura 3,375.
Hata hivyo, Lusinde alifika katika ofisi za katibu huyo na kudai amekamilisha matokeo ya kata zote na ameshinda kwa kupata kura 5,810 wakati Malecela ana kura 5,379 .
Hata hivyo, Lusinde alifika katika ofisi za katibu huyo na kudai amekamilisha matokeo ya kata zote na ameshinda kwa kupata kura 5,810 wakati Malecela ana kura 5,379 .
HATA HIVYO MATOKEO YASIYO RASMI YANASEMA MZEE MALECELA KAPATA KURA 5652 NA LIVINGSTONE LUSINDE KAPATA KURA 5407. YOTE KWA YOTE UKWELI UTAJULIKANA BAADAYE WAKATI MATOKEO RASMI YATAPOTOLEWA.
HABARI KAMILI NENDA
MICHUZI-MATUKIO
Ankal na timu nzima ya glogu ya jamii asanteni kwa kutupa updates hizi.
ReplyDelete(US Blogger)
nimefurahi sana kuona ccm imeamua kufata democracia,watu walopitishwa na wananchi ndo wanaogombea ubunge,hii itasaidia kupata watu wanaowataka,zamani halmashauri kuu ilikuwa inakata majina bila sababu za msingi.hii itasaidia watu wenye majina kuwa wachapakazi kwenye majimbo yao.
ReplyDeleteHizo ni kura za maoni . Majina yakienda halmashauri kuu ya CCM . Malecela atashinda kwa kura
ReplyDeleteMichuzi nasubiri swali langu la kizushi kuhusu demokrasia Bongo kuchapishwa. Acha mambo ya self-censorship. Unawaogopa CCM hivi?
ReplyDeleteMax
Mdau wa USA
Nadhani wananchi wametimiza wajibu wao wa iraia. Wameamua wawapumzishe hawa wazee baada ya kuwa wamekuwa wabunge kwa muda mrefu. Nadhani ni wakati mwafaka wa kung'atuliwa na kwenda kupumzika. Safi sana wananchi.
ReplyDeleteMdau
Democrasi gani iliyopo TZ?
ReplyDeleteHakuna chcht ni mazingaumbwe tu, hakuna freedom of speech hata kidogo, na vyombo vya vya popaganda vinabana mawazo yanayotolewa bila kujua nchi inarudi nyama wkt dunia nzima inapiga hatua kwenye democrasia, chama tawala kitoke, vijana tupewe nafasi yetu tujenge taifa letu,
Michuzi bania kama kawaida yako!!!
MALECELA AMESHINDA KWA KURA 245, HABARI ZAKO HAZIKO SAHIHI MKUU.
ReplyDeleteHATA AKISHINDWA KWENYE KURA ZA MAONI SI HOJA KWANI ATAPITISHWA NA KIKAO KINACHOTHIBITISHA WAGOMBEA, NI NDOTO KUMUACHA MALECELA LABDA ATAKE MWENYEWE
ReplyDeletekatika washindi wote sijaona mwenye 1st class Economics Degree ya Oxford kama ya kwangu.
ReplyDeleteKwa hiyo ufumbuzi wa matatizo ya uchumi bado.
US Blogger
Wewe anonymous wa Tue Aug 03, 01:49:00 AM unapoongelea first class ya Oxford una maana gani? Wewe ni "Inye nshomile nini!!" Hakuna cha Oxford wala mtoto wake. Hayo ni mawazo ya kikoloni. Tuachie bongo yetu wewe nenda huko US kwenye uchumi imara ukawe kibaraka wa Obama na ukabebe mabox na kuosha mbwa wa wazungu na hiyo first class yako!!
ReplyDeleteMdau na mkereketwa wa Bongo
Watu wengine Mbumbux2 kweli, huyo hapo juu ni amesaidiwa kuandika au kaandika mwenyewe... yani aingii akilini kabisa... sasa kama una degree ya oxford.. imeisaidiaje TZ..ni mara yangu ya kwanza comment.. lakini tukiona utumbo kama huu lazima tujaribu kukosoa
ReplyDelete@ US Blogger unanikumbusha mgombea moja nae ana 'one track mind' kama yako anadhani uchumi ndio kila kitu. Toka asubuhi mpaka usiku anarudia neno 'uchumi uchumi' hana tofauti na Mrema enzi hizo na wimbo wake wa Chavda
ReplyDeleteWewe Anonymous wa Tarehe Tue Aug 03, 01:49:00am
ReplyDeleteNani kakuuliza elimu yako wewe, sasa kuna mbunge yaani mshua yeye ni darasa la saba na fweza ndo usiulize na anagombea na kusaidia uchumi, wewe na hako ka 1st degree ni bure tu kwanza tukikupa utakuwa FISADI tu... bora unyamaze, wazawa tufanye tunavyojua
Kwanza si ubaki huko huko tu aliyekupeleka katoa wapi pesa na hajajenga hata darasa moja kusaidia wananchi naye ni FISADI.
Kuna nchi tano tu Afrika ambazo zina demokrasia kamili: Afrika Kusini, Ghana, Namibia, Botswana na visiwa vya Sao Tome and Principe. Nchi zilizobakia pamoja na Tanzania yetu zinawabana kwa kila namna viongozi wa upinzani aidha kwa kutumia fedha za nchi kununua kura, kubana sauti zao katika redio na TV , kuwafunga viongozi wa upinzani bila sababu na kuiba kura za wapinzani ma mwisho kutawala kwa kutumia sapoti ya jeshi kukandamiza upinzani wowote. Watanzania wa leo kamwe hawadanganyiki tena kama enzi za Ujamaa na Kujitegemea.
ReplyDeleteMax
Mdau wa USA
IVI WEWE KILAZA UNAESEMA UNA 1ST CLASS IVI UMEULIZWA???? NJOO NALO BONGO UONE WATOTO WA MJINI 2NAVOKUKMBZA...
ReplyDeleteETI WAJITA USA BLOOGER!!!!!!!???
OXFORD YENYEWE YA UCHOCHORON KAMA WALE WANAOJIITA KUTOA CHETI CHA CAMBRIDGE...
ILA SIO KOSA LAKO KASA NI LA DADAKO KUOLEWA ALAF AKAMPETI PETI SHEMEJI YAKO NDO UKAKUPELEKA UKO USA UKAWALINDIE CHUMBA CHAO
michuz uwe unaangalia comment nyngne uzipge chini mana wanashusha p yako kama uyo anaejita USA blogger
ReplyDelete