They call him Al Khateer (The Dangerous) in his village.
He married 130 wives, 85 are still alive and got 260 children 175 are still alive........

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Huyu akigombea udiwani tayari ana kura 260 nyumbani kwake.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. wadau tunaomba tafsiri.

    ReplyDelete
  3. MBONA RAHISI TU CZ KILA MKE MMOJA AVERAGE NI WATOTO WAWILI NA KWA KIJIJINI INAWEZEKANA CZ BURUDANI PEKEE UKITOA NGOMA ZA JADI NI NGONO SO ITS POSSIBLE

    ReplyDelete
  4. Walikuwa wanamsaidia kama anavyosaidiwa Mswati kule Swaziland.

    Observer

    ReplyDelete
  5. A 'human being milling machine' - the real 'living miller'.

    Well - if you go by count, he must have enjoyed it.

    .... and still goes, a lucky man ;-)

    ReplyDelete
  6. Mume Wangu, Mikanjuni TangaAugust 19, 2010

    Lazima hao watoto wengine AMETILIWA na watoto wake wakubwa au majirani wakware.

    ReplyDelete
  7. Ana dini huyu? Ni Mungu wa wapi anayeruhusu haya! Hawa akina mama walikuwa wanavutwa na nini, ni tajiri sana hapo kijijini au anatumia ndumba bin juju kuwavuta!? Hivi wanawake kwanini huwa wanakubali kutendewa ukatili huu, kwani wanaume wengine hawawaoni? Matatizo ya wananawake wanayajua wanawake wenyewe! One husband one wife milele, amina.

    ReplyDelete
  8. we anon wa Thu Aug 19, 03:30:00 PM,
    mambo ya dini yanakuhusu nini? Tena kama hana dini mbona ndo ruksa hata 10000?

    Mbona dini inasema kuoa 1000 ni sahihi : soma agano la kale solomon alikuwa nao wangapi.

    ReplyDelete
  9. Unayetaka one husban one wife una solution gani ya wanwake waliozidi wanaume kwa idadi, waende wapi?

    Waoane wanawake kwa wanawake?

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  10. Wanawake Mungu aliwajalia akili zao wenyewe. Utakuta mwanamke anaolewa na mme ambaye ameacha wake kibao.au utakuta mwanamke anajua fika kuwa mme huyu ana ngoma lakini anakubali kuolewa naye. Ndio maana mwanaume akiambiwa ana akili za kike hukasirika sana. Akili zao huzijua wenyewe.Hapo kwa huyu mzee sio ndumba. yeye hapo anafagilia akili zao.

    ReplyDelete
  11. huyo mshuwa alikuwa anakula mkuyati hana anagonwa hao watoto wake ni 40 tu wengine wa wanaume wengine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...