Vodacom Miss lake Zone 2010 Fatma Ibrahim kutoka Mara akitabasamu baada ya kutawazwa kuwa malkia wa taji hilo, kushoto ni mshindi wa pili Buduli Ibrahim kutoka Shinyanga, Kulia ni Margreth Godson mshindi wa tatu kutoka Shinyanga. Shindano hilo lilifanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Natiro Annex Capripoint jijini Mwanza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Sipati picha

    ReplyDelete
  2. affirmative action au ?????

    ReplyDelete
  3. Astaghafrullah!! Astaghafrullah!! Astaghafrullah!!
    Dada zetu wa Kiislam mnakwenda wapi!! Mnaipenda saana dunia na stareh zipitazo mkasahau kama kuna Akheraa!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...