HAPPY BIRTH DAY KHALID PAPU
Hapi Besdei to youuuuuuu, hapi besdei tu youuuuuuuuuuuuuuu hepi besdei Khalid Papu Happy Besdei tu youuuuuuu how old are you noooooow????????
Tunakupongeza kwa kufikisha miaka 4 siku ya leo mungu akupe baraka na afya njema na maisha marefu zaidi na zaidi.
Aunty Halima & Uncle Mfundo Peter Mfundo, Germany

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kitoto kisweetie kweli hiki lol! happy birthday to you little khalid, Mungu akujalie ukue vizuuri na uendelee kuwa mr handsome!!!

    ReplyDelete
  2. Hongera dada F kwa kukuza. Happy birthday to you Khalid.

    ReplyDelete
  3. Happy birthday to you my precious Son Mungu akujaalie akupe kila lililo jema na akuepushe na mabaya yote ya dunia hii. Mrs. Hamza Mzee

    ReplyDelete
  4. Happy birthday my Precious Son, Allah akujaalie kila lililo jema na akuepushe na mabaya. Mrs. Hamza Mzee.

    ReplyDelete
  5. mungu azidi kukupa nguvu,na afya tele mpwa wangu.ukue na kuongezeka, kiumri kimo, na busara.
    happy birthday khalid!!!

    ReplyDelete
  6. May God Bless the Familly of Hamza Mzee forever

    Regards
    Mfuco

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...