

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nafurahi kuona kwamba rais yuko salama!!!
ReplyDeletesAFI sANA viongozi WA DINI KUMBE MNAJARI, WAKIJA NA WAGOMBEA WENGINE MJITOKEZE NA MICHUZI UTUONYESHE KAMA WAMETIA TIMU
ReplyDeleteMichu michu vipi mbona picha za uzinduzi wa cuf temeke leo hakuna?
ReplyDeleteHuu uchaguzi wa mwaka huu ngoma. Naona waislamu wote watakuwa CCM, na wakatoliki chadema, sababu sioni padri kwenye mstari huo, only kanzu...kazi hipo.
ReplyDeleteNI RAHISI SANA KUTAWALA WATANZANIA
ReplyDeleteshoe shine huko Rock City hawajawatendea haki waheshiwa wote waliojipanga
ReplyDeleteNasikia eti Tanzania kama wewe unavijisente ukiwa hauna kitambi wanasema umefulia. Sasa sijui kitambi ndo pesa au? Naomba msaada.
ReplyDeleteMdau Zambia
yani wahandishi wa habari nao mafisadi tu,,ivi ni chama kimoja tu kimefanya uzinduzi?kwanini hutoa vyama vingine kampeni zao zokoje?ata kama mnalipwa si mkubaliane na vyama vingine pia?
ReplyDeletetoa matukio ya vyama vingine pia alaa
unatuboa sana wee ankal!!
yani wahandishi wa habari nao mafisadi tu,,ivi ni chama kimoja tu kimefanya uzinduzi?kwanini hutoa vyama vingine kampeni zao zokoje?ata kama mnalipwa si mkubaliane na vyama vingine pia?
ReplyDeletetoa matukio ya vyama vingine pia alaa.
i hope udini haumo...maana ata mgombea mweza kipindi cha 2 nae.
unatuboa sana wee ankal!!
ankal usibane
ReplyDeletepicha #2 toka juu uyo anaepewa mkono,mbona anatishia maisha ya wapinzani wenziwe?siasa si hoja zako zenye akili kwa wanainchi????
tumtilie mashaka km lile liafande la miaka ileeee!!!
ajirekebishe upesi
pole jk hiyo yote ni mitihani ndio maana hata mwalimu alisema ikulu sio maali pa kukimbilia na ukimuona mtu anakimbilia ikulu muogope kama ukoma, sasa hayo ndio baadhi ya mitihani tu mungu atakusaidia utapona baba tupo pamoja na wewe kazi zako ni nzuri umejitahidi ila ukweli ni kwamba watendaji wako ndio wanao kuangusa mtaa, pia kumbuka kilio cha wana deci bado ni vidonda kwa wapiga kula wako sijui ni vipi umejipanga au ndio imetoka?
ReplyDeleteHivi Tz kuna watu wanaohitimu udaktari wakiwa wamespeishalaizi katika fani ya diety (dietitians)? Naomba swali langu lijibiwe na wanafunzi wa Muhimbili.
ReplyDeleteNkyabo-Bongo
Ndugu Nkyabo Becoming a dietitian or nutritionist usually requires at least a bachelor's degree in dietetics, foods and nutrition, food service systems management, or a related area. GRADUATE degrees also are available. College students in these majors take courses in foods, nutrition, institution management, chemistry, biochemistry, biology, microbiology, and physiology. Other suggested courses include business, mathematics, statistics, computer science, psychology, sociology, and economics. High school students interested in becoming a dietitian or nutritionist should take courses in biology, chemistry, mathematics, health, and communications.
ReplyDeleteViongozi wa dini jamani wa kiislamu hapo wako wanne tu na bado roho zinawauma, hivi mnatakaje? Hao viongozi wengine hamuwaoni au mpaka wangenining'iniza misalama mikubwa shingoni ndio mngejua kuwa nao ni viongozi wa dini? Hao waliovaa hizo shingoni nyeupe wa kwanza kutoka kwa mwenye shati la kitenge, kavaa sahti jekundu na kola yake nyeupe, na mwingine kavaa shati la purple na kola nyeupe hao sio viongozi wa kutoka makanisani? Au kanisa ni katoliki peke yake? Nyie wakatoliki mna shida sana!
ReplyDeletevyama vingine havijaanza rasmi, si unajua kama chadema kilishapita mikoa yote, kutoa introduction, kwa sasa wamepanga kuanza rasmi tar 28/8 kwa hiyo tulizeni ball, ataweka tu, hii blog si kigezo cha mtu kushinda uchaguzi hata kama anapendelea chama kimoja, Wapiga kura wengi hata hii blog hawaijui.
ReplyDeleteAcheni kumulaumu ankal