wamenzza kumiminika katika nyumba hiyo ya kompyuta. Hizi ni Think Pad Laptop za
Lenovo, kampuni inayotoa kompyuta za kisasa zaidi Marekani kwa sasa na imeshinda tuzo. Spea na accessories ni za kumwaga hapo katika nyumba hii ya kompyuta. Na kila kitu kina gerentii ya mwaka mmoja...
BOFYA HAPA
Ankal akioneshwa mtambo wa kisasa wa CCCTV ambao una vikorombwezo kibao ikiwa ni pamoja na kamera inayoona gizani, memory ya mwaka mzima na ya rangi pamoja na kukupa uwezo kuiangalia kwa intaneti ukiwa hauko nyumbani ama ofisini ulikoifunga tena na sauti hukamata
Mdau Kisamo anakuonesha aina kadhaa ya HDD USD drive zenye GB aina zote
1. BUY A THINKPAD LAPTOP &
WAHII, ONLY APPLIES FOR THE FIRST TEN CUSTOMERS BEGINNING 8/19/2010!!!!
la mwaka huu la kutoka IBM ambayo haina msgindani kwa ubora na uthabiti
Kwa mawasiliano mdau Kisamo anapatikana kwa simu namba
+255 22 212 3388 ya mezani
ama
+255 767 266 902
Na katika kukuhakikishia kwamba ameingia Bongo kuwaletea teknolojia ya leo, Mdau Kisamo anatoa ofa kwa wateja watano wa kwanza kuanzia leo Alhamisi ambapo ukifanya manunuzi:
1. BUY A THINKPAD LAPTOP &
GET A FREE 320GB SECURE HDD USB DRIVE!!!!!!
WAHII, ONLY APPLIES FOR THE FIRST TEN CUSTOMERS BEGINNING 8/19/2010!!!!
2. BUY A IDEA PAD Y550 & GET A FREE
WD MY PASSPORT ESSENTIAL USB DRIVE!!!!\
UNATAKIWA UWAHI...
UNATAKIWA UWAHI...
ONLY APPLIES FOR THE FIRST FIVE CUSTOMERS
BEGINNING 8/19/2010!!!


haya ankal kwa promo wewe.
ReplyDeletecorrection
levono-LENOVO.
usd-USB.
Ankal, hapo lazima umekamua mshiko wa nguvu. Jamaa umemfagilia vya kutosha, akishindwa kuuza shauri yake, wewe utakuwa umeshachukua chako.
ReplyDeleteNaupenda ujasiamali wako maana chembe chembe za rushwa zinaonekana kwa shida sana.
Huyu dogo hataji bei !! au anataka kusema hiyo ofa maana yake ni anakupa bure?
ReplyDeletehongera mdogo wangu,kumbe ulikuwa na vitu vya nguvu,mbona hukutuelezea pale kwenye mkutano wa DICOTA-MN?.Mungu akusaidie upate wateja wengi
ReplyDeletevuvuzela ya kutosha ashindwe mwenyewe!
ReplyDeleteSawa ila duka lipo mtaa gani haijaeleweka.Haiwezekani mtu ana duka halafu hajui liko mtaa gani.Naomba Ankal urekebishe kwa kuwa naitaji desktop ya IBM.Nicholas
ReplyDeleteKaka,
ReplyDeleteNadhani Lenovo ni badala ya IBM, ambazo hazitengenezwi tena kuingia sokoni. Pia huku nje,Lenovo ndio bei chee sana kuliko karibu computer aina zote...
Pengine fanya ka-utafiti kidogo hewani (online) kujua news za hivyo vitu kaka...
Kazi njema
jamani LENOVO ni chinese brand na inatengenezwa na wachina wenyewe,ila wanafanya kazi pamoja na IBM just in coorporation.
ReplyDeletePut that computer engineering degree to use... congrats on this new venture.
ReplyDeleteGood News for Tanzanians. Asante ndugu Kisamo kwa kutuletea huduma hii. Nimefurahi kuona mnatoa na garantee kwa vifaa vyenu kwa mwaka mzima. Huu ni mfano wa kuigwa kwa wauza vifaa vya elektroniki wote nchini kwetu Tanzania.
ReplyDeleteMdau wa Westongate
Wandugu,
ReplyDeleteLENOVO, ndio, financiers wake ni wa China, lakini bidhaa hii is manufactured specifically for U.S. market, and conforms to all standards that other U.S. co. meet. Ukichukulia kwamba Lenovo waliinunua IBM PC/Laptop division, Engineers ni wale wale, managers ni wale wale, head quarters ya hii division ipo NC, USA.
After all, cooperations zote za P.C., Dell, HP, Gateway aka. EMC aka. Acer, production yao wote ipo China kwa sababu ya low cost of labor.
The differentiating factor ya PCs ni design (which incorporates style, ergonomics, weight, heat dissipation etc), components (harddrive, video card, motherboard) na features. Hapo ndipo mchuano ulipo. Na Lenovo, hawapo nyumba, wapo mstari wa mbele! Ahsante kwa kusoma.
Hongera mdau, songa mbele, wasikukatishe tamaa.
All the best KOMPU WORLD team for this service.
ReplyDeletetunaomba uweke bei ya hizo laptop manake tangazo limeeleza vitu vingine vyote except for prices!!
ReplyDeleteHongera Kaka Kisamo! All the best - good to see the gameplan in action. Frank Minja
ReplyDeletehii ni kitu mzuri sana. vijana kama ninyi ndio mtaleta maendeleo nchini kwenu. watanzania na waafrika popote mlipo tumieni ujuzi wenu kuendeleza nchi zenu.
ReplyDeleteZiwe za ki_china au ki-Amerika, yatuhusu nini sisi?
ReplyDeleteTengenezeni zenu na achananeni na uwakala!