Waooooo...waaaaoooo...Ndivyo wanavyoonekana kusema Profesa Mwakyusa (shoto) na Bw. Richard Kasesela walipokutana leo mjini Tunduma wakati wa mkutano wa kampeni wa JK. Waheshimiwa hawa walichuiana vikali kwenye kura za maoni katika jimbo la Rungwe Mashariki ambapo Profesa Mwakyusa ndiye aliyeibuka kidedea.
Profesa Mwakyusa na Bw. Kasesela wakikumbatiana kwa furaha

".....Hongera sana mheshimiwa, sasa kazi iliyobaki ni kuunganisha nguvu na kuzoa kura zote za ndio Rungwe Mashariki..." anasema Bw. Kasesela



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hivi Kasesela aka Bibo na wewe ni muheshimiwa now a days? kweli siasa sii hasa huko kwetu. Yaani kabisaaa! umeona hapo ndio pako!
    Jaribu tena wakati mwingine amanjoo upambane na mabox huku kwa watu bado una nguvu sana. JK alisha kuona na kama kukutoa angeisha kuoa Long time. Kumbuka kilichotokea wakati mkiwa ziarani huku Marekani.

    ReplyDelete
  2. Hakuna kiongozi hapo,naona wote vimeo tu.

    ReplyDelete
  3. MICHUZI MBONA HABARI ZA CHADEMA UMEZIWEKA KANDO? KUMBUKA HII BLOG MIMI NINAITEGEMEA SANA KWA HABARI ZA VYAMA VYOTE KATIKA KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI, USISIEM WAKO USITUKWAZE BWANA.

    ReplyDelete
  4. UNAPOPANDA NDEGE BURE UNATAKIWA ULIPE FADHILA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...