Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Clouds Hapo chuki tupu mnaona juma nature Clouds FM??? Ila JUma Nature Yeah Yeah nyingi mbona.

    ReplyDelete
  2. Asante sana kaka JUMA NATURE umefunika vibaya sana.kila ka kheri kaka katika shughuli zako za MUZIKI.
    Mdau-Mji wa Kusoma!!!!

    ReplyDelete
  3. Lil Kim is down to earth. Watu walimponda oh kaisha na nini ila ona jinsi alivyo mpa mkono msanii wetu wakitanzania hapo. Msije kushangaa Juma atakavyo jipatia tiketi ya kwenda marekani kufanya kibao na Lil mana walifanya show bombaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  4. Fantastic, Sir Nature! Bravo Bro. Kazi nzuri saaaaaaaaaaaaana. Asante, nadhani Fela sasa amekuona!

    ReplyDelete
  5. Hapo haja-perform HILI GAME! Sijawahi kuona wimbo wowote ule wa Bongo Flava unaowapagawisha masela kama HILI GAME!!!

    Ile akianza.. kichwa "nd*%u":

    Kitu kidogo tu, kitu kidogo tu!

    UZAIIIIIFFFF..

    Them old good days. Sii Pwaaa upo?? Hihihihihi

    ReplyDelete
  6. Kibongo Bongo Nature ndo ataishia hapo hapo, wakati wenye visu vikali wanaendelea kujineemesha. Wacha tusubiri iyo rmx Lil K aliyosema...Mapinduzi ya Bongoflava ni lini au ndo tunasubiri mialiko ya show za mbele kwenye mabaa ambayo wanahudhuria wabongo tu,.

    ReplyDelete
  7. jamaa mbona anaogopa kusuguliwa na lil kim? kila lil kim akimfata anakimbia kimbia.

    ReplyDelete
  8. Sio kila akifuatwa anakimbia kusuguliwa, huyu ni kijana wa kimatumbi analinda mila ya kimatumbi akizingatia kuwa na mtuwe yupo hapo hapo akifuatilia kwa karibu!!! teh! teh!

    ReplyDelete
  9. nature angejua lugha angechukua mtoto ange maliza bovu !! hila naona anakimbia kimbia tu stageni

    ReplyDelete
  10. daa juma angejua hata cha kuombea maji ingekuwa mzuka kishenzi ila ndio hivyo tena huwezi kuwa na vyote ila bado muda anao.

    ReplyDelete
  11. naona nature kafanya vizuri, sio mdada akikufanyia kitu basi wewe unaenda full, pale alikuwa kazini, sasa angefuata mnayo sema, sasa hivi mgemuandika vibaya, oh fulani kaacha kuimba anataka kufanya ......

    ReplyDelete
  12. lil kim huku ulaya kashapitwa na wakati watu hawamcheki tena... lakini vizuri katumbuiza bongo vizuri angepambana na lady jd naona angemsaidia kwenye mengi haswa upande wa kuwa jukwaani manake dada yetu anahaya bado, labda mumewe mkali lakini.

    ReplyDelete
  13. Say something! Sio Yeah! Yeah! Yeah!!

    ReplyDelete
  14. Juma Nature Bwana ...sasa koti la leza, skafu na joto hilo ... ha ha ha ha, ama kweli video zinaharibu watu huku ni baridi ndio maana watu wanapiga vitu hivyo.

    ReplyDelete
  15. Wabongo acheni chuki! Mtaishia kuponda wenzenu tu. Nyinyi fanyeni vyenu acheni kupiga domo tu. Juma Nature amefanya mambo! Endelea hivyo hivyo, achana na ma haters hawa! big up!

    ReplyDelete
  16. kweli lady jay dee angekuwepo jukwaani angesaidiwa na lil kim jinsi ya kutawala jukwaa sio kuwa jukwaani kama msabato anaimba kwaya

    ReplyDelete
  17. Muziki ni lugha tosha kabisa, leo hii watu wanaimba ajali,yoriyori bila hata kujua maana yake lakini kwa kua muziki ni lugha twende tuu. Necha wa kiroboto aaah, una zali

    ReplyDelete
  18. nyie hamwajui mademu wa kinugu? eti angemaliza mchezo..
    mnugu anakusugua usiku pee utanunua pombe ila ikifika last call tu anakupa thank you huyoo
    nature kapoteza bahati ya kusuguliwa ndo hicho tu angefaidi ila poa show imetulia

    ReplyDelete
  19. lil kim hajaishiwa kama baadhi ya watu walivyo coment hapa hilo napinga labda hao watu hawa fuatilii habali za hip hop mbele watembelee mtandao wa allhiphop waone,kuhusu nature kusuguliwa sio issue ya lazima huyu mwanadada amemkubali sana juma kutokana na misongi yake iliyoko ktk maadhi ya kisouth, lugha sio issue kuna wanamuziki kibao wamefanya colabo na wanamuziki wasio sikilizana lugha tuwe waelewa wabongo tusiwe nyuma kiivyo kwanza mimi ntafurahi kama juma nuture akifanya nyimbo na lil kim na akitumia lugha ya kiswahili tutakuwa tunaitangaza tanzania pia na lugha kupanuka, mfano mzuri kifaransa kinavyotumiwa kongo na nchi jirani ktk miziki situmeona falee pupa inavyofanya ughaibuni.NI HAYO TU , (MAC V )

    ReplyDelete
  20. gambakuffuAugust 10, 2010

    Lady jaydee habash hilo somo uwe unachangamka unapofanya live showz yaani isingekuwa hao vijana wako wa machozi band 4sure unaboa, usingepata watu zaidi ya kujiimbia mwenyewe nyumbani kwako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...