




Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kuuliza wadau wa chanel ten na wadau wa Dar CECILLIA MDOE wa chanel ten and Miss wa zamani yuko wapi?
ReplyDeleteNampenda sana Mie mdau wa mkoani jamani naomba kufahamishwa
Imekuwaje nyie VODA hamkumualika JK?; Wenzenu kila tukio lazima aalikwe JK ndio wanaona limefanikiwa. Kila la kheri WADAU.
ReplyDeleteFutari bila ya UJI WA PILIPILI na MUHOGO WA NAZI KWA SAMAKI inakuwa haijakamilika, hapo naona sodasoda kwa wingi tu na asilimia ndogo ya waliofunga.
ReplyDeleteJamani mlipata angalau nafasi ya kuswali MAGHRIB kabla hamjakula( sio kufuturu)?? Ankal, usiibanie hii ni muhimu kwa WADAU.
ReplyDeleteankali hapo umepatia raha ya futari ukae mkekani,futari na mezani wapi kwa wapi.
ReplyDeleteDuh Dr. Michuzi, mbona gitaa na zeze kipindi cha swaumu? Labda kusogesha utamu wa iftar.
ReplyDeleteImependeza kuona baadhi ya wadau hapa kuonyesha ile nidhamu ya misahafu yetu, kwani wakati nje ya ramadhani zile barakashiar na ijab huwa hazipigwi pasi na kumbe leo nawaona ndo washiriki wenzangu wa misahau.
Nasubiri tuonane mwezi wa Rabien awal kwani mara ya mwisho tulikutana ule mwezi wa dhulkaadat.
Inshallah.
First pic, the girl in green is hot! Whats her name?
ReplyDeleteMdau unayeulizia first picture the girl in green naona umebadilishe hiyo screen yako au kma huvai miwai bora kamuone Dr haraka. na kam unamiwani basi nenda ikarekebishwe....Mbona hamna mtu aliyevaa green hapo juu kwenye picha ya kwanza?
ReplyDeleteUstaadh Mwakifulefule hahahahahhahahahahahhahahahahahaha
ReplyDeletewe mdau unayesema humwoni aliyevaa green basi wewe ndo unahitaji miwani.....huyo wa katikati picha ya kwanza we unaona kavaa red eeh! au computer yako ni black and white?
ReplyDeleteNaomba kuuliza swali. Mimi Mwislamu lakini sijafunga sasa miaka 30. Je, kama hufungi, nini adhabu yake?
ReplyDeleteShukurani.
Kobe wa Washington
Sijapata ona muislamu akafutari kwa kuburudishwa na muziki , hapa na hapa khofu na hao wafungaji kwa kweli. Na si katika mafundisho ya Mtume wetu Muhammad(Swallahllahu alay wasalaam_). Hii ni dini mpya ya wana Vodacom na washabiki wake waliohudhuria na si Uislam.
ReplyDeleteHivi futari lazima ule kwa mikono hata kama mikono michafu?
ReplyDeletethat gal ni wa channel10 huwa yupo na salma msangi kwenye kipindi cha saa mbili cha mziki,,,na amevaa green kwa wale wenye matatizo ya macho....
ReplyDelete