
MGOMBEA urais kwa tiketi ya CHADEMA, Dk. Willbrod Slaa (pichani), amefunguliwa kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaami, akidaiwa fidia y ash. bilioni moja kwa madai ya kunyang’anya mke wa mtu.
Kesi hiyo namba 122 ya mwaka 2010, ilifunguliwa leo mahakamani hapo na Aminiel Mahimbo kwa kupitia ofisi ya mawakili ya Amicus.
Mahimbo anadai kuwa, Dk. Slaa kamnyang’anya mkewe wa ndoa Josephine Mushumbusi.
Kwa kupitia nakala ya hati ya madai, Mahimbo anadai fidia ya sh. milioni 200 kutokana na hasara alizozipata baada ya mdaiwa huyo, kumtangaza mkewe wa ndoa Josephine kuwa mchumba wake na sh. milioni 800 ikiwa ni hasara ya jumla aliyopata.
Mlalamikaji huyo, anadai Septemba 7, 2002 alifunga ndoa na mwanamke huyo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ushirika wa Kijitonyama na kuishi maeneo mbalimbali ikiwemo Kimara, Baruti, Dar es Salaam.
Pia anadai katika maisha yao ya ndoa wamebahatika kuwa na watoto wawili ambao ni Upendo aliyezaliwa Mei Mosi, 2003 na Precious aliyezaliwa Machi 14, 2007.
Mahimbo alidai, ndoa kati yake na Josephine haijavunjwa na chombo chochote na kwamba, bado ni mke wake halali.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Mahimbo alidai hivi karibuni, mkewe alikuwa na safari za mara kwa mara na aliamini ni za kikazi. Josephine ni mfanyabiashara ambaye anaendesha kampuni iitwayo Green World Clinic.
Alidai katika tarehe na mahali tofauti, Dk. Slaa alimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe, suala ambalo si kweli.
Mlalamikaji huyo alidai, uhusiano uliopo kati ya watu hao wawili umemfanya adhalilike na kunyanyasika katika jamii na anaiomba mahakama kumzuia Dk. Slaa kuendelea kujihusisha kimahusiano na mkewe.
Anaiomba mahakama kumwamuru Dk. Slaa kumlipa bilioni moja na kulipa gharama za kuendeshea kesi.
Mahimbo amedai ameambatanisha na cheti cha ndoa na Josephine, picha za harusi, vyeti vya kuzaliwa vya watoto na nakala za vipande vya magazeti zilizopigwa wakati Dk. Slaa akimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe.
Kesi hiyo namba 122 ya mwaka 2010, ilifunguliwa leo mahakamani hapo na Aminiel Mahimbo kwa kupitia ofisi ya mawakili ya Amicus.
Mahimbo anadai kuwa, Dk. Slaa kamnyang’anya mkewe wa ndoa Josephine Mushumbusi.
Kwa kupitia nakala ya hati ya madai, Mahimbo anadai fidia ya sh. milioni 200 kutokana na hasara alizozipata baada ya mdaiwa huyo, kumtangaza mkewe wa ndoa Josephine kuwa mchumba wake na sh. milioni 800 ikiwa ni hasara ya jumla aliyopata.
Mlalamikaji huyo, anadai Septemba 7, 2002 alifunga ndoa na mwanamke huyo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ushirika wa Kijitonyama na kuishi maeneo mbalimbali ikiwemo Kimara, Baruti, Dar es Salaam.
Pia anadai katika maisha yao ya ndoa wamebahatika kuwa na watoto wawili ambao ni Upendo aliyezaliwa Mei Mosi, 2003 na Precious aliyezaliwa Machi 14, 2007.
Mahimbo alidai, ndoa kati yake na Josephine haijavunjwa na chombo chochote na kwamba, bado ni mke wake halali.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Mahimbo alidai hivi karibuni, mkewe alikuwa na safari za mara kwa mara na aliamini ni za kikazi. Josephine ni mfanyabiashara ambaye anaendesha kampuni iitwayo Green World Clinic.
Alidai katika tarehe na mahali tofauti, Dk. Slaa alimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe, suala ambalo si kweli.
Mlalamikaji huyo alidai, uhusiano uliopo kati ya watu hao wawili umemfanya adhalilike na kunyanyasika katika jamii na anaiomba mahakama kumzuia Dk. Slaa kuendelea kujihusisha kimahusiano na mkewe.
Anaiomba mahakama kumwamuru Dk. Slaa kumlipa bilioni moja na kulipa gharama za kuendeshea kesi.
Mahimbo amedai ameambatanisha na cheti cha ndoa na Josephine, picha za harusi, vyeti vya kuzaliwa vya watoto na nakala za vipande vya magazeti zilizopigwa wakati Dk. Slaa akimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe.
Habari ankla, mbona nikitaka kusoma habari zilizopita mfano augosti, zinakuja tu za 30, na 31 augiost, vipi nikitaka ona kuanzia 1 augost, mana sioni pa kuendelea zaidi rudi juuu nisaidie, mimi9 mdau.
ReplyDeleteMAMBO YA CCM HAYO.
ReplyDeleteCHUKI BINAFSI ZA KAMPENI. SLAA MNAMGWAYA HIVYO. POLENI SANA, HUYU SIYO DR WA HONORARIA BALI NI DR OF PHILOSOPHY.
ReplyDeleteccm hiyo. Itatumia kila njia kumzuia Dr. Slaa kushinda katika uchaguzi. Lakini wananchi wa Tanzania tumeamka, hizo ni nguvu za giza na za dhuluma, zitashindwa mahakamani na mbele ya Mwenyezi Mungu. Waliopo upande wa dhuluma wahame mapema, hukumu ya jumla isije ikawaangukia.
ReplyDeletebora ungetaja kahela ambako kanalipika,sasa unataja mihela mingi hiyo unafikiri utaipata kweli? kwani wewe ulimtolea mahari ya shilingi ngapi? jaribu kuwa mpole kidogo.punguza bei kidogo ili wanachama wake waweze kumchangia.asante baba.
ReplyDeleteCCM mmeshashinda lakini bado mnafitina,
ReplyDeletesasa sijui mnataka kushinda kwa % zote 100
Ukishindwa na sera inabidi utumie hata mambo ambayo hayana msingi, sasa wakianza kutajana na mambo ya wanawake tutakuwa hatuna wagombea acha wa urais hata hao wabunge sijui nani atabaki. Pigeni sera za kumkomboa mlalahoi sio faulu hizo !!
ReplyDeleteUnaposhindwa kunadi sera zako haya ndio mambo yanayotokea.
ReplyDeleteLakini ipo siku ukweli utajitenga na hizi hila za usanii wa kisiasa.
Hata Mwezi huu Mtukufu unaweza kufanya hila??
Kwa nini tusiwe watu werevu kujadili hoja badala ya Personality??
...na ambaye ni mkamilifu awe wa kwanza kursha jiwe!!
Tutaishia hapo wakati jirani zetu wanachanja mbuga!! Nikifumba macho na kufikiria watoto wangu nashindwa kuelewa watakuwa wapi miaka 50 down the road!! Tunawaachia urithi gani, kama usanii ndio huu!!
Ila ukweli kila mtu anaujua nafsini mwake!!
Mpiganaji Slaa endeleza mapambano, kazi ndio kwanza imeanza. Hekima mbele, nawaomba hata wagombea wengine watangulize hekima na busara mfano wa Mfalme Suleiman, waachane na wapambe nuksi wenye hila zao na matakwa binafsi!!
Vyama vyote vidumu!!
ACHENI KUTIA USHABIKI WA KISIASA KATIKA MASUALA YA KISHERIA, NDOA ZA KIKISTRO HAZIVUNJWI KIHOLELA BALI NA MAMLAKA INAYOTAMBULIKA KIKANISA. KAMA MEKUU ANARUKA NA MKE AMBAYE NDOA YAKE HAIJAVUNJWA RASMI, ATAKUWA AMEVUNJA AMRI YA MUNGU NA MAMLAKA ZILIZOWEKWA NA WANADAMU, HIVYO LIPA MAPENE YA WATU AISEE!
ReplyDeleteDalili kwamba CCM wanashindwa hoja hatudanganyiki!!!!
ReplyDeleteDK SLAA NA WEWE SI UNGESUBIRI MISI TANZANIA IISHE UCHUMBIE NA KUOA KIMWANA KABLA YA TALEHE YA UCHAGUZI.AlaFU WANAKUSINGIZIA AU NI KWELI UMEMKWAPUA HUYU MAMA PRECIOUS??
ReplyDeleteNafikiri maisha ya Bw,Mahimbo yameharibika baada ya kuibiwa mkwe wake,tuache kupolitise fact,jamaa familia yake imaharibiwa na kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu,ukiiba mke au mume wa mtu unashitakiwa.Tatizo ni kwamba sasa Tanzania watu wamezoea kuiba wake na waume za watu na jamii inakaa kimya.
ReplyDeleteBwana Mahimbo ana haki narudia ya kushitaki mwizi wake,ungekuwa wewe mkeo ambao ndugu zako wanamjua,rafiki zako wanamjua na mungu pia,mchungaji aliyewafungisha ndoa nae anajua ungekuwa unajifikiriaje kama?
Tuache siasa Dr.Slaa kamkosea mkristu mwenzake?na ni mtu wa ajabu ilikuwaje akawa padre kama ni wa tabia hizo?Kakaa na mke wa mtu muda wote huo amamzini tu!!
Ni hivi iyo hela hupati na Slaa ni Rais
ReplyDeleteSiasa mchezo mchafu. Wametafuta udhaifu wake, wameona hapo ndio pa kummaliza....Huruma kwa watoto....Mungu awabariki..
ReplyDeleteBwana Mahimbo, hongera sana naona umeenda kufungua kesi siku ya wedding annivessary yako, duh hiyo kali. Sasa wote waliochukuliwa wake na waume zao wakienda mahakamani basi mahakama itabidi iwe 24 hours! na watuhumiwa wengine itabidi walale hukohuko maana kila wakitoka watashitakiwa tena! Kaka mke ndio kashaondoka hiyo na anaweza kuja kua first lady, wewe lala mbele jikazi kiume!!!!
ReplyDeleteSiukishalipwa billion moja ndio Slaa aendelee naye, ama ndio mke arudi nyumba au, sijaelewa, mtu mwenyewe anaoneka laki mbili halafu kudhalilishwa kwake billioni moja!!!!!
ReplyDeleteKama huyo Josephine ni 1B basi hata mimi namtaka.
ReplyDeleteyaani kama atachaguliwa Dr.Slaa Ikulu patageuka dangulo la makahaba?
ReplyDeleteNdio kusema kuwa Dr.Slaa anapomnadi 1st Lady mtarajiwa,kumbe anatumwagia mchanga wa macho????wapiga kura!
NO! NO! Hapana !Hapana kwa msingi huu wa kutudanganya inaonyesha wazi mgombea huyu si mwaminifu.tena ni kifyagio cha wake za watu.Kinachotushangaza hivi kweli Dr.Silaa mtu ambaye amewahi kuwa Padri anaishi kinyumba na mke wa mtu?
Inatia kichefu chefu.
Hivi tunajiuliza hii katiba anayotaka kuibadilisha ni pamoja na ruhusa ya mtu kuchukua mke wa mwenzie au?
Mke kakukimbia unaenda mahakamani kudai fidia..!!!
ReplyDeleteHizi Siasa, zinawapeleka Watanzania pabaya.
Dr.Slaa sasa anatokota badala ya kuchemsha!tena anajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe! huyu si alikuwaga Padri,mbona anatafuna kondoo wa bwana sasa?
ReplyDeleteManeno ya Bw.Yesu yaliwatabiri akina Dr,Slaa ! Yesu alisema kuwa wapo wanaiabudu kwa jina langu la baba,lakini hawabudu katika kweli.Sasa huyu atakuwa Rais wa aina gani? ana mfano upi? kwa raia wake
we are talking about people's power so the people have decied THAT DR SLAA IS PRESO 2010 PERIOD. huyo chediel keshahongwa na chama cha mafisadi kama kawaida yao. PEOLPE'S POWER!!!
ReplyDeletehapa ndiyo unapata jibu nani amewaweka akina babu seya gerezani mpaka leo, huyu mkwele ukiingia anga zake, anakumaliza
ReplyDeleteHuu unaweza kuwa uongo mkubwa. Yaani mkeo kalala na mtu we waenda kukusanya pesa halafu unjidai bado wampenda.
ReplyDeleteHili halikuwa dili kweli?
Habari!!...Ebwana mchakato wote ulivyokaa ni swala ambalo we got to think deep about it na ni wazi ni chuki binafsi na mlalamikaji inaonekana hajaenda shule kuleta kesi kama hii hadharani wakati kama huu wa campaign,hivyo ningependa watanzania wenzangu wapate muamko hasa kwa wale wenye upeo mdogo wa kuelewa mambo/siasa na kupata kuona hali halisi. Kwa mtizamo wangu binafsi ni kwamba this is jus' a deal with media and the victim to spoil the cv of the gentleman/presidential candidates in favour of the corrupt p'ple!!!Its absulutely nonsense na mwanamke naye inafaa awe muwazi since she is not under 18...Thanks....Mie mdau wa manchester.
ReplyDeleteSiasa mgumu kweli. Hebu nielewesheni WA KUSHTAKIWA NI NANI? MWANAUME AU MWANAMKE ALIEKIMBIA NDOA? Haya mambo yanatokea kila siku mitaani ni vizuri tuelimishane jamani!
ReplyDeleteAngalieni, badala ya kumshusha, mnaweza kumkweza. Mnakumbuka ya Zitto Kabwe ? Muulizeni Speaker sitta atawaaambieni ukweli. Anapata publicity ambayo hatakiwi kuwa nayo.
ReplyDeleteNdio yale yale niliyoyasema juzi. Waafrika wanafiki sana. Wanajifanya wakali kuhusu maadili wakati ni wazinzi wa kwanza. Unaweza kuta jamaa mkali kwa watoto wake, anawachapa bila sababu au kuwanyima hiki na kile wakati anatembea na mke wa mtu. Kwa mantiki hii na magonjwa tutafika kweli?
ReplyDeleteMimi mnanishangaza na nitashangaa mpaka kesho, kwanza huyo mlalamikaji kama kweli alikuwa na nia alikuwa wapi muda wote huo asilalamike ama asipeleke malalamiko mahakamni hadi leo hii, hii kwangu ni hila ya kumuangusha Slaa kisiasa. Wewe ni mwanaume gani unatorokwa na mkeo tena wa ndoa unakaa kimya siku zote hizo mpaka leo hii ndio unakurupuka ati kwa vile second owner of your wife ametangaza nia? hainiingii akilini na kama unadhani salaa kukuchukulia mke ulidhalilika, sasa nikupe ukweli ulipokaa kimya kuona mwanaume mwenzi akikuchukulia mke ndio ulipodhalilika, lakini pia kujitokeza kwako wakati huu ukimtuhumu slaa ndio umedhalilika kabisaaaaa. ama wewe mwanume embu nieleze tu, una nia kweli? nia ya dhati na mkeo? mbona hukuhangaika kuzuia huo uhusiano mpaka umeacha wamezaa hadi watoto, unachotaka hapa mimi naona ni kudhalilika mara dufu, hata hivyo sijakuelewa, nakuuliza tu swali moja, suppose slaa ameamua kuachanaa na huyo unayemuita mkeo, upo tayari kuishi naye? kwa tafsiri ipi, second wife from another husband au? umenichanganya sana.
ReplyDeleteMchuzi, usiabanie hii comment tafadhali,mwanaume ameniduhi sana huyo.
NINI DR SLAA, MBONA HATA CLINTON ALIKUWA NA MADEMU WHITEHOUSE- MONICA, LAKINI WATU WAKAJALI ISSUES, MBONA PRINCE CHARLES ALIANZA KUMKAMUA CAMILA WAKATI BADO WAPO NA PRINCESS DIANA. HATUDANGANYIKIIIIIIIIIIIII DR SLAA KAWASHIKA PABAYA! TUNAJUA KAZI KWENU, KURA ZETU ZOTE KWA DR.SLAA TUUUUUUUUUUUUUUU!
ReplyDeleteYAKIPELEKWA YA KILA MTU MAHAKAMANI KUTAKUWA HAKUNA UCHAGUZI, WAANZIE NA KESI ZA EPA, RICHMOND, TANGOLD, MEREMETA, KIWIA.......... TUTAKESHA, JAMANI WAKATI UMEFIKA, HATUPIGWI DONGE LA AKILI TENA.
ReplyDeletekwa hiyo huyu jamaa akaona now is the right time ku-complain...yani,ilivyokaa it sounds unreal kabisa...alafu eti anataka billion moja!!!is he out of his mind or js stupid!!....Tanzania is full of unbelievable pple!!!
ReplyDeleteLIPUMBA ALIPOKUWA HAJAOA ALISHIKIWA BANGO MPAKA KAOA, LEO DR SLAA MNAMTETEA KWA KUCHUKUA MKE WA MTU? KURA YANGU HAIENDI KWA MZINZI NG'O!
ReplyDeleteChadema hii combination yenu chiboko. Rais mpora wake za watu, mgombea mwenza standars 7 kweli bongo shamba la bibi
ReplyDeleteSlaa ni time-bomb waiting to explode. Subirini habari zake alipokuwa katibu mkuu wa TEC akaingia mitini na fungu la walemavu
ReplyDeleteMichuzi umekosea unge bold pia kwa wino huohuo na tena kwenye jina unaweka rangi nyingine, lakini hiyo yote haitoshi kunibadili mawazo yangu, kadi nimeiweka kwenye Diary yangu kabatini nimeitoa kwenye wallet maana wezi wanaweza kuniibia nikashindwa kumchagua Dr.W. Slaa .
ReplyDeleteHata msemaje sidanganyiki
KUNA WANAOSEMA TUJADILI MASLAHI YA NCHI NA SIO MAISHA BINAFSI,INASHANGAZA SIJUI UMBUMBUMBU AU USHABIKI WA VYAMA!MUHUSIKA NI MGOMBEA URAISI AMA KWA LUGHA NYINGINE NI RAISI MTARAJIWA,SWALA LA KUWA RAISI WA NCHI LINA MGUSA KILA MWANANCHI,CHARITY BEGIN AT HOME KAMA KWELI KUNA USHAHIDI TOSHA KWAMBA JAMAA HAJAMUACHA KISHERIA MKE WAKE NA HAKUNA CHOMBO CHOCHOTE CHA SHERIA KIMEWATENGANISHA AU KUVUNJA NDOA HIYO,DR SLAA ATAKUWA AMEFANYA KOSA KUBWA LITAKALO MKOSTI KATIKA MBIO ZAKE,TUIYACHIE MAHAKAMA,UKWELI UTKAPO JULIKANA NDIO TUTAANZIA HAPO KUWEKA MIJADALA JAMVINI NOT NOW PLEASE.
ReplyDeletejana kwa mara ya kwanza nimeona mwanasheria anaita press conference na kusema kesho yake atafungua mashtaka na kuonyesha evidence alizokuwa nazo. CCM, mngedeliver to the promises you made five years ago kungekua hamna haja ya kucheza mchezo mchafu kama huu!!
ReplyDeleteSlaa hana phd inayotambulika...eti "doctor" slaa. Utakuwaje na phd kama huna digrii ya kwanza na ya pili. Hiyo ni phd isiyo na kichwa wala miguu....mpaka leo slaa hataki kusema phd yake ni ya nini au thesis yake ilikuwa ni nini. Hatutampigia kura ng'oo na wala hamtatulazimisha. Huko karatu kila mtu anajua kwa nini upadri na uburuda ulimshinda. Hana morals wala haya hata kidogo. Ataanguka tu na nyinyi ma-haters wa "chademu" mtalia machozi ya damu! COPY THAT! J. Mollel. (Morani halisi).
ReplyDeleteJinsi siku zinavyokwenda ndivyo Watanzania watajua uchafu wa huyo mzee slaa. 2005 alishinda kwa kura 1000 tu dhidi ya mtu ambaye hajawahi kuishi Karatu. Nakumbuka 2005 slaa alisema kuwa kama hatashida basi hatatambua matokeo!!! What a fake. He will never ever be our president. Atashindwa tu. Yeye ni.....katika ngozi ya kondoo. Tusidanganyane. Si mtume kama wafuasi wake wanavyodai. He's a big fake.
ReplyDeleteWote mnaomtetea Slaa hamumjui. Waulizeni Wambulu mkitaka kujua visa vyake.
ReplyDeletehii ni mizwengwe ya ccm na kina makamba kama alivyofanyiwa ustaadhi salm ahmed salm kuwa sio mbongo halisi,ok ccm mtashinda kama paulo kagame 99.99999999%
ReplyDeleteje monica mbega na vicky kamata ni wake za nani?
ReplyDeletehata hao wagombea wengine wana mitala ila kwa kuwa wapo kwenye system inawalinda poa haki mbinguni
ReplyDeleteNaona kampeni zinazidi kuchemka na chama tawala kinaendelea na mbinu zake za kutupata wadanganyika!
ReplyDeleteNina uhakika mambo ya ufuska ya viongozi wa chama tawala yakianikwa kwenye vyombo vya habari wananchi tutaona hili suala la Dr. Slaa ni dogo sana. Kuna viongozi wanajulikana ni wagonjwa na bado wanaambukiza mabinti wadogo wa shule na wengine kuwatoa mimba hao watoto mara kwa mara. Mabinti hao wanaweza kuwa sawa watoto wao na wengine ni wajukuu wao lakini pesa ikitembezwa hata familia zilidhurika zinakaa kimya. Kuna uchafu mkubwa sana unaendelea na wahusika wakubwa ni viongozi wakuu wa chama tawala.
Suala la Mahimbo kuibiwa mkewe lina utata....sikatai kwamba hakuwa mkewe. Ila alivyojieleza kwamba mkewe kaondoka tangu Machi mwaka huu na watoto na hajui alipoenda. Hivi kuna Mume au baba anayeweza kukaa wiki moja asijue familia yake inaishi vipi. Ungekuwa kwenye nchi nyingine watoto wangeshakuliwa na mamlaka Social Services kwa uzembe. Naona Mahimbo unatuelezea ulivyokuwa mzembe kutunza familia yako. Machi mpaka leo Septemba ndio unajitokeza, sipati jibu lingine zaidi ya kukuona kwamba wewe ni MZEMBE na usiyewajibika kwa familia yako. Acha wenye uwezo wa kutunza wafanye hivyo labda ndio utajifunza. Dr. Slaa anaweza kuwa alimuhurumia Josephine kuhusu mateso anayoyapata kwenye ndoa, na kama ni hivyo mwanaume yoyote angemuhurumia Josephine. Pole sana lakini ndio maisha na ukweli huo. Sikiliza kampeni zinakuvutia kwenye uchaguzi na utumie akili yako kuchagua kiongozi unayemtaka. Hizu rafu mbaya zimepitwa na wakati.
Babu seya alifungwa watu wakakaa kimya eti kasaidiwa na mwanae kubaka,sasa mfungeni dr slaaa asipolipa hiyo bilioni tuone itakuaje.mbona mwenye mke hakusema kabla ya kampeni?chama cha mauaji hicho.
ReplyDeleteviongozi wetu wote wana mapepo ya ngono sio slaa tu,na huyo mjinga anaesema kaibiwa mke,kwa nini hakusema kabla ya lampeni kuanza?anatakiwa kuchapwa viboko matakoni huyo.
ReplyDeletewapelekeni Iran wawagonge kwa mawe,maana ni uzinzi huo.
ReplyDeleteTEM MOST INTELLECTUAL AMERICAN COLLEGES
ReplyDeletehttp://www.huffingtonpost.com/2010/09/07/intellectual-colleges_n_707087.html
mimi chichemi lolote
ReplyDeletehilo ccm mmeona kubwa na la jk kupora mke wa nguza vickig na hajatosha ukaamua kumpeleka jela
ReplyDeleteJe nyumba ndogo za JK TUZISEME? Au unataka tuchafue hali ya hewa?
ReplyDeleteok no promblem my vote ....dk slaa a waiting for you babaa
ReplyDeleteDuu jamaa amepewe shs ngapi adi akakubali kujidhalilisha kiasi icho!! mwanamke akutaki unamlazimisha wapo wengi ndo urithi amabao Mungu ametupa sisi mashababi!! au mzee jogoo awiki nini tafuta mnyonge nawe umege!!!
ReplyDeleteNafikiri kesi hii inapaswa ipewe kipaumbele kama ya Zombe ili sis wapigakura tujue ukweli wake na mwishowe tujue tumpigie nani.
ReplyDeleteNkyabo - Bongo
Hawa hawakufunga ndoa walikuwa wanapasha kipolo tu coz kuikweli wakati wanafunga hio ndoa inaonesha tayari dem alikuwa ana mimba, coz ndoa sept 7 2002, mtoto may 2003! khaa!
ReplyDeleteSlaa ana PhD ya kubandikwa, atoe thesis ya PhD yake tuione. Mdau kule hakukosea utakuwaje na PhD bila Digrii ya pili (Masters). Mzinzi hafai kupigiwa kura mimi sitompa kura yangu ingawa ni mwanaCHADEMA wa damu.
ReplyDeleteyangu umeibania ee poa, kama kawaida!Yaani sijawahi kuandika comment ukaipost hata siku moja, acha ubaguzi, yangu sijamtaja hata mtu mmoja, umebana, wengine mpaka wamemtaja JK umeiweka, sawa!
ReplyDeletekwahiyo we mpare bilioni moja ni kifuta jasho ama?umejidhalilisha na zaidi umewadhalilisha watoto wako na hawatakusamehe kwa hili
ReplyDeleteSlaa is a false messiah!!! He knows it. Copy that!!!!!!
ReplyDeleteAcheni ujinga Watanzania!
ReplyDeleteHuyo Dk Slaa amelikoroga mwenyewe!
We unakulaje mke wamtu hadi unaenda kutangaza majukwaani na kuwaita waandishi wa habari?
Huo sasa ndo tunaita UFISADI WA MAADILI!!!
kama mwanamke hakutaki si basi... unatapatapa nini? unadai nini? wacha wenzako wakusaidie
ReplyDeletesalma na wewe nenda mahakamani tuone nani zaidi
ReplyDeleteHatudanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteALICHOFANYA DR SLAA NI KUTANGAZIA UMMA WA TANZANIA WOTE KWAMBA ANA MCHUMBA AMBAYE ANATAKATA KUFUNGA NAYE NDOA HIVI KARIBUNI.
ReplyDeleteNINAVYOJUA MIMI NA KWA UZOEFU WANGU KWA KUWA NA MCHUMBA NA BAADAYE MKE. MTU ANAPOPATA MCHUMBA ANAMTANGAZA KWANZA KWA JAMII YAKE. NA WANAPOTAKA KUFUNGA NDOA(KWA TARATIBU ZA KANISA LA KILUTHERI) WANAENDA KUANDISHIKISHI KANISANI NA KANISA LITATANGAZA MARA TATU KUWA KUNA FULANI NA FULANI WAMELETA KUSUDIO LAO LA KUFUNGA NDOA SIKU FULANI, NA KAMA KUNA MTU MWENYE PINGAMIZI AJITOKEZE SASA LA SIVYO HANYAMAZE MILELE.
DR SLAA YEYE AMEENDA MBALI ZAIDI KUTANGAZA KWA WATANZANIA WOTE KWAMBA ANA MCHUMBA NA WATAFANYA TARATIBU ZA NDOA HIVI KARIBUNI. HUYU MCHUMBA KAMA NI MKE WA MTU BASI HUYO MTU ANAHAKI YA KUJITOKEZA KUSEMA HUYU NI MKE WANGU.
SASA HAPO ISSUE ITABAKI KWA HUYU MKE NA HUYO MUME WAKE NA SIO DR SLAA KWANI YEYE ALICHOFANYA NI KUTANGAZA TU UCHUMBA AJASEMA AMEOA NA LABDA HAKUJUA KWAMBA HUYU MCHUMBA NI MKE WA MTU.
MARA NYINGI MNAUME ANAPOKUTANA NA MNAMKE NA KUPENDANA HUWA WAHAZUNGUMZIE SANA WAPENZI WAO WA ZAMANI KWA SABABU SIO VIZURI KUONGELEA MAPENZI YA ZAMANI KWENYE MAPYA. YA ZAMANI WANASAHAU WANAANGALIA MBELE. KATIKA HALI KAMA HII SASA DR SLAA ANGEJUAJE KAMA HUYU MCHUMBA BADO NI MKE WA MTU.
SASA KAMA JAMAA KAJA NA PINGAMIZI NI JUKUMU LA YEYE NA MKE WAKE KUDHIBITISHA KWAMBA BADO WAO NI WANA NDOA NA SIO LA DR SLAA WALA MTU MWINGINE YEYOTE.
HAWA VIJANA WA CHADEMA SIO KWAMBA WANAMWIGA MBOWE KUONGEA ILA WAMEPATA MAFUNZO YA AINA MOJA JINSI YA KUTOA HOTUBA NA KUPANGILIA HOJA. NDIO MAANA AKIONGEA ZITO, MNYIKA NA HUYU JOHN MREMA UNAONA WANAPANGILIA HOJA ZAO KWA SAUTI YA USHAWISHI. KUMBUKA HATA MARTIN LUTHER KING NA SASA BARAKA OBAMA WAMEFANIKIWA KUTOA HOTUBA ZENYE USHAWISHI KWA KUTUMIA SAUTI ZAO.
ReplyDeleteILI KUSHAWISHI WATU HUWEZI KUONGEA TU KWA KUBWABWAJA MANENO HOVYO, LAZIMA UWEKA MVUTO NA MKAZO.
Njama za CCM hizo. Walikuwa madarakani miaka 5 iliyopita na wameshindwa kuwasaidia wananchi, sasa wanahaha huku na kule....sasa wamekosa sera wanaanza kuingilia maisha binafsi ya Dr. Slaa (Dr. wa UKWELI).
ReplyDeleteHuyo Bw. Mahimbo mbona hatuambii mke wake aliondoka lini nyumbani kwake na aliondoka je? Na je baada ya kuondoka alichukua hatua gani? Aliripoti mahali popote kama mke wake kapotea na je yeye mwenyewe hana kimada pembeni ambacho amekuwa nacho baada ya mke wake kuondoka?
Namshauri atulie tu, hana Sera yeye ni sawa na wana-CCM
Naipongeza CHADEMA kwa kuamua kuachana na kampeni za kijinga kwani hazimsaidii Mtanzania
Jamani mke anauma. Tuache ushabiki wa siasa. Inawezekana DK Slaa alidanganywa na huyo mwanamke ila cha msingi ni kuachana nae vinginevyo tutaona aliyajua yote na ni mgoni. Mke kitu kingine jamani nyie msio na wake fungeni midomo
ReplyDeleteHuyu baba inaonekana alitoa mahari kubwa sana na ndio maana anadai fidia ya sh200m (kimila mahari lazima irudishwe km mke kakimbia) na kwamba huyu bibi alikuwa akimtunza kwa mali na hali na ndio maana anadai sh800m ili aendelee na maisha aliyokuwa nayo wakati akiwa na mkewe... Josephine, wewe lala mbele kama Rooney/Tiger Wood endelea na maisha huna haja ya wanyonya damu maishani mwako... Endelea na maisha bora wewe na wanao!!!
ReplyDeleteNashangazwa na jinsi watu wanavyoilaumu ccm!! Hata wengine wanadiriki hata kumtaja Mungu kwenye mambo yasiyo na msingi. Hivi kweli kuchukuwa mke wa mtu kuna uhalali gani? Tena mtu anaejua sheria vizuri ya ndoa na hasa sheria ya ndoa ya Kikritu! Makosa ni makosa tu hata yangetajwa wakati wa kampeni, kwani makosa haya nyinyi mlitaka yatajwe akiwa wapi? Mwizi akishikwa mtaani maranyingine mnamhukumu kwa matairi barabarani hata mahakamani hapelekwi. Slaa kapelekwa mahakamani basi! sheria ichukuwe mkondo wake, jamani acheni kupaka matope CCM. Pia acheni kumtaja Mungu kwenye mambo aliotukataza kwenye amri 10 zake! Kama kweli amechukuwa mke wa watu malipo huwa hapahapa. Tuchague viongozi bora na si bora kiongozi.
ReplyDeleteFanyeni research kidogo wajamani.
ReplyDeleteSio lazima uwe na degree ili upate PhD.
Jane Goodall had no degree and she was allowed to study for a Ph.D degree in Ethology (Cambridge University). She became the eighth person to be allowed to do so
ivi nyie mnaomsema mtukufu raisi mko na akili sawa kweli?
ReplyDeleteSasa nimeamini maneno ya gazeti moja liliandika:'CCM WAPANGA MIKAKATI KUMCHAFULIA DR SLAA KWA MASWALA BINAFSI'Hata hivyo mie nasema HATUDANGANYIKI.Hizo ni issue za kawaida tu.Tunapiga kimya kimya,na safari hii hata ccm mkishinda ila chamoto mtakuwa mmekiona,tena mshukuru kwamba MAZUZU bado ni wengi nchi hii.
ReplyDeleteHapa hatudanyanyiki hata kidogo,hata iweje kura yangu itaenda kwa Dr Slaa tuu,watz hatuna upeo wa kufikiria hivi tangia CCM ianze kuchukua madaraka hadi leo mimi sioni mabadiliko hata kidogo,Jamani watz imefikia wakati tuchague kiongozi aliye nje ya CCM kisha tuone itakuwaje,Swala la Dr Slaa sio kitu cha ajabu,hata Clintoni alikuwa rais mzuri japo alikuwa na Monica Lewisky,Princess Charles alikuwa na Princess Diana japo alikuwa na kimada pembeni,Hakuna kiongozi wa ccm yoyote wa ngazi za juu asiyekuwa na kimada,SO hapo hamtupumbazi akili kabisa na kutudanganya,THE NEXT PRESIDENT OF TZ GONNA B DR SLAA
ReplyDeleteOle wenu wenye fikira finyu za kudhani kuwa kila digrii ya "doctorate" ni PhD!
ReplyDeleteMnahitaji elimu ya manufaa zaidi! Waachieni wenye "doctorate" watuelemishe!
Si tulisikia kuwa Dr. Slaa ktanda chake kiliwekewa "a bug" huko hotelini mjini Dodoma!
Acheni ushabiki...Dr. Slaa kaisha, endapo tuhuma hizo zitadhihirishwa, kisheria!
kwani nani hajachukua nke wa mtu? acheni upumbavu nyie...prof j mwenyewe anasema ukichukuliwa wa kwako na wewe kambananishe wa mshikaji! kwani fisadi na mgoni bora nani?
ReplyDeleteuwiiiiiiiiii
ReplyDeletejamani jamani nasikia harufu ya kurudi kwa mitume
ReplyDeletejamani hivi hamkumbuki maandiko matukufu kwamba ya kaisari mpe kaisari mbona mnaingilia maraha maraha ya waheshimiwa???mmewaheshimu wenyewe sasa hii si ndiyo heshima kabisa manake hadi unamuonjesha na mnanihii wako...sasa mahimbo we huoni kama hiyo ni heshima??? ungekuwa unapinga hilo siku zote ulikuwa wapi??? wee bwana endelea kumwagia heshima tu mheshimiwa chlaaa acha uhovyo hovyo na utoto..we... au njoo nibebe mimi lakini i am 70 years old lakini poa tu hapo hutasumbuliwa mjukuu wangu
ReplyDeleteMichuzi mbona unaegemea upande mmoja? Twakutumia habari za majibu ya mchumba wa Dr Slaa ila huyaweki. Ndio maana watu wengine wanakutumia matusi kwenye blogu yako. Mimi sitakutukana ila ninafikiri una-katabia ka uchochoroni kubandika habari za kuwasagia wapinzani wa CCM na ukiletewa story za kuwasafisha huziweki. Inabidi tukubadili jina na kukuita "Sista Du Mishuzi". Ha ha ha... Ubadilike mzee mzima bwana, acha longolongo
ReplyDeleteWadanganyika achani ujinga Slaa ni ka wanaume wengine tu je ni wangapi wako na wake za watu. Tena inaelekea huyu mwanaume bwege anasubiri tu aletewe ndo maana hata kwenye aibu anadai fidia ya mabilioni ya fedha. NASEMA SIDANGANYIKI. Mbona mke wa Slaa Rose haongei chochote. Mbona SALMA KALETEWA VIMADA KIBAO YUKO KIMYA. Watu wenye busara hawawezi kujibublish namna hii HUO NI UCHAFU WA CCM. NARUDIA SAFARI HII SIDANGANYIKI
ReplyDeleteThis is hopeless..huyo mume alikua wapi siku zote asifungue mashtaka..
ReplyDeleteKampeni zinaendelea tusizushiane uongo usiokua na msingi..tukampeni kwa amani na tuache watu wachague mtu wao..usiwalazimishe watu wamuone mwingine mmbaya kwani usimuone mwenzako ana kitu jichoni ilhali wewe una gogo....
Huyu Slaa mambo aliyomfanyia Rose Kamili hayakubaliki kabisa. Huyu Slaa ni mbwa mwitu hatari aliyevalia ngozi ya kondoo. Hata hiyo PHD hatuijui ni ya nini na wala hataki kuiongelea. Slaa you can fool some people some time but you can't fool all the people all the time.
ReplyDeleteKama mnataka kumfunga Rais Slaa. Tafuteni unafki mwingine!
ReplyDeleteHamuoni hata haya kutunga upumbavu!
SA zuma alibaka tena mgonjwa lakini walio na uelewa walimchagua mimi si semi jinsi hali ya uchumi ilivy SA bali alietembelea SA hivi karibuni anajua ni jinsi gani walivyo vuta hatua, hebu tuwe na mawazo ya watanzania walio masikini hivi nikweli unakubali nyumba za serikali zimeuzwa na tena zikiwemo za madaktari na viongozi wengine wa serekali, huduma mbaya. HIVI NI KWELI KWAMBA WAMESHINDWA KUDHIBITI RUSHWA hospitali mama zetu wanakufa kwa kukosa huduma ya haraka wakati wa kujifungua mpaka utoe rushwa je ni sawa na je tuchague mafisadi watumalize? kama una mawazo chanya hutoka kwa Mungu mpe kura yako slaa. HATA DAUDI KWENYE BIBLIA ALIKUWA NA MAOVU LAKINI MUNGU HAKUMTOA KWENYE UONGOZI (UFALME) HIVYO TUSIMHUKUMU SLAA BILA SABABU
ReplyDeletehuyo Slaa amejitakia mwenyewe kwani kulikuwa na ulazima wa kumtambulisha jukwaani huyo mke wa watu, si angesubiri baada ya uchaguzi? na huyo mwenye mke angejuaje kama slaa ndio mwizi wake alipomuona jukwaani ndio amethibitisha mwizi wake ni Slaa, kwa nini asishtaki mahakani? mke ni wake kamtunza kampendezesha Slaa anataka kumdandia tu.Usione vyaelea vimeundwa.watanzania msimpe kura kiongozi asiye muadilifu.
ReplyDeleteBIBLIA INASEMA WAONAJE KIBANZI KTK JICHO LA MWENZAKO ILI HALI MNA BORITI KTK JICHO LAKO?NAYE YESU AKASEMA KAMA KUNA YEYETO ANAYEJIONA HAKUTENDA DHAMBI AWE WA KWANZA KUMPIGA MAWE HUYU MWANAMKE.SASA NASHAURI KAMA KWELI UNAJIONA WEWE NI MSAFI MNYOSHEE SLAA MKONO LAKINI UKUMBUKE WEWE NI MANGAPI UMEWATENDEA WENZAKO.BINAFSI NAAMINI ROHO YA UZINZI IMEANZIA FROM TOP MPAKA KWA WANAFUNZI KTK NCHI NYINNGI DUNIANI SO HIZI NI NYAKATI ZA MWISHO ZA UTAWALA WA SHETANI MUNGU ANAENDA KULIKUMBUKA TAIFA LA TANZANIA.NAJUA WATANZANIA WENGI NI WAGUMU KUELEWA NA NI WEPESI WA KUSAAU PIA NI MASHUJAA WA KUJUTA NA KULALAMIKA POLENI SANA WATANZANIA WENZANGU MUNGU AWABARIKI NA AWAFUNGUE MUWE WAELEWA
ReplyDeleteSIASA HIZI ZIMEPITWA NA WAKATI ACHENI USHAMBA WATANZANIA NA WEWE UNAYEDAI UMEIBIWA MKE ULIKUA WAPI SIKU ZOTE? TAMAA ZA UTAJIRI WA KUDANGANYWA NA CCM UTAKACHOVUNA NI AIBU TU.KWA USHAURI WANGU UMECHEMSHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeletehata wakati wa Mrema mambo kama haya tuliyaona tumeshaelewa hizo ni mbinu chafu za ccm hata wao wana mabaya yao
ReplyDeletemara nyingi binadamu wana pande mbili mmoja huonekena kwa urahisi sana,ambao upande huo ni upande wa ukarimu na wema ........kwanamna moja au nyingine inawezekana kabisa kuwa fikra zetu juu ya uwepo wa mkono wa CCM katika suala la dr.slaa ikawa ni uzushi m2pu.......kumbukeni kuwa nae ni binadamu ,inaweze kana kabisa kuwa huyo mwanamke alikuwa m2 wa slaa kabla ya kuolewa na huyo jamaa........ jamani angalieni pande mbili!
ReplyDelete