Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi,Dk. Mohamed Gharib Bilal, akifurahia vazi la asili ya kabila la Wangoni na silaha ya Kinjenje, baada ya kukabidhiwa na wazee wa kabila hilo, Aidan Mbano (kushoto) na Joachim Silo, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Bombambili mjini Songea jana.
Mgombea Mwenza wa Urais,Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi Mgombea wa ubunge wa jimbo la Songea mjini,Dr. Emmanuel Nchimbi, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Bombambili mjini SongeaBOFYA HAPA
kwa picha zaidi.


Kaka Michuzi.
ReplyDeleteSamahani kidogo, Huyu ni John Nchimbi au Dr. Emmanuel Nchimbi? unatuchangaya hapo kaka!!
Mgombea wa Songea mjini nadhani anaitwa Emmanuel Nchimbi na sio John. Labda kama ana jina jingine.
ReplyDelete