Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika uwanja wa Michenzani jimbo la mkanyageni Pemba.
Mgombea Urais wa Zanziba kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein akimsikiliza Bibi Fatma Zahoro muasisi wa ASP baada ya kumalizika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika uwanja wa michenzani jimbo la mkanyageni Mkoani Pemba.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi alionekana Iringa akiwa amevaa kofia ya CCM.

    ReplyDelete
  2. Hongera Dr shein lakini wasia wangu ni kama huu hao wanaokuwa nyuma yako katika kampeni ambao wanakwenda maungo nje watakuharibia unaelewa fika tosha jinsi hapa pembna jamii haioni wanawake kuwa kama alivyo huyo dada ningekuomba wambie wajisitiri maumbile yao mapaka utakapondoka nao la sihivyo wazee wanahisi unawalete tamaduni zisizo pendeza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...