Home
Unlabelled
injini kiuno
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kumbe hata kyela kuna wajanja. poa sana. kama ulaya ulaya vile.
ReplyDeletenakubaliana na wewe mdau, kyela ni wajanja kwa wilaya zote za mkoa wa mbeya ( hata mbeya mjini), kuna burudani zinapatikana kyela ambazo hata jijini mbeya hazipo!
ReplyDeleteKwakweli injini kiuno zinatusaidia sana hapa kyela, hakuna tatizo la foreni wala bei ya mafuta kupanda, hitaji ni kujaza upepo na kuendesha....KYELA JUU, MWAKYEMBE JUU ZAIDI!
Mdau V, Kyela
nakubaliana na wewe mdau, kyela ni wajanja kwa wilaya zote za mkoa wa mbeya ( hata mbeya mjini), kuna burudani zinapatikana kyela ambazo hata jijini mbeya hazipo!
ReplyDeleteKwakweli injini kiuno zinatusaidia sana hapa kyela, hakuna tatizo la foreni wala bei ya mafuta kupanda, hitaji ni kujaza upepo na kuendesha....KYELA JUU, MWAKYEMBE JUU ZAIDI!
Mdau V, Kyela
kyela ni bomba sana, hali ya hewa iko poa, kama bongo vile ila joto si kivile, matunda yote yanapatikana, ubwabwa wa hapa mtamu sana, samaki watamu. kyela ipo juu.Ingini kiuno kama tanga!!! Nawasilisha!!!
ReplyDeleteNeno igini kiuno ni abuse na kutoelewa nini maana ya usafiri wa baiskeli, ukiwaangalia jamaa hawa hakuna mwenye kitambi kwani hawa wako fiti kwasababu ya kutumia baiskeli moja ya faida, pili hakuna foleni na kuchafua mazingira, huu ndiyo ulimwengu wa kisasa kwani hata London mayor kaanzisha scheme ya baiskeli za kukodi kwasababu ya mazingira, watanzania badirika sasa.
ReplyDeleteMdau uk