Jaji Mkuu,Mh Augustine Ramadhan akisaini hati ya kiapo wakati alipokuwa akiwaapisha Mahakimu Wakazi Wapya wanne ofisini kwake leo.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh.Augustine Ramadhamani akizungumza na Mahakimu Wakazi Wapya wanne mara baada ya kuwaapisha ofisini kwake leo.Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Mahakama za Wilaya hadi Rufaa Mh.Prophir Lyimo
Jaji Mkuu wa Tanzania Mh. Augustino Ramadhani akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu Wazizi Wapya aliowaapisha leo ofisini kwake.

Ndugu zanguni najua mmeapa kwa kushika misaafu mitakatifu, basi nawahimiza mkajiepushe na rushwa na msimamie haki bila kubagua. Be blessed for whatever task and hardiship you about to encounter
ReplyDelete