

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ok, so strike a political balance here cause tunahitaji kuona kampeni za vyama vingine
ReplyDeleteGIMME A BREAK..magwiji wa siasa za kimataifa!!!!!!!!!!tusitanie fani za watu.
ReplyDeleteRamadhani Kareem kina mama
ReplyDelete"Wanawake wa Tanzania warembo sana!! Moto moto Tanzania, wanawake Tanzania." My dear ladies, you have the beauty and the brains, you make me feel proud to be a Tanzanian woman. Kina mama hoyeee!!
ReplyDeleteHoyee! Nakujibu mdau kinamama oyee!
ReplyDeleteWenye chuki na chuki zao,
wenye husda na husda zao!
Kinamama hao wawili Dr. Asha na Bi Amina wanawafanya watu waungulike nafsi zao wanatamani nafasi hizo wangepata wao! Waapi! hata mkiponda wenzenu ndio washaingia kwenye vitabu vya historia WAKO KWENYE SIASA ZA KIATAIFA! UN NI UMOJA WA MATAIFA NA AU NI UMOJA WA MATAIFA YA AFRIKA!
Haluu kama nawaona vile wanavyotaka kulia! Kwani hata kwenye picha hamzioni hizo bendera?
Hongereni mama zangu mnatuwakilisha vyema kwenye anga za kimataifa!
Wanawake maarufu Tanzania:
ReplyDelete1) Asha-Rose Migiro --> UN /New York City
2) Amina Salum Ali --> USA/D.C
3) Mama Tibaijuka--> UN-Makazi, mstaafu
4) Gertrude Mongella --> Women/Beijing.
etc......
But for the case of Amina Salum Ali, I find it interesting to have an African represent Africa (the continent), to a single freaking nation, USA!
siasaaaa!nilijua huyu maza akitua dc ataleta siasa za london. hakuna mwanasiasa huko.hao wote ni watu na fani zao serious.
ReplyDeleteKaribu mama "mfnyakazi" wa serikali tufungue matawi ya CCM. Na watatukoma mwaka huu.
ReplyDeleteJamani sijui kuna jinamizi gani Tanzania. Mtu akiona nyaya anasema kitunguu. Jamani hao si wanasiasa. Balozi Maajar ni balozi wa Tanzania nchini Marekani, yeye ni mwanadiplomasia na mtumishi wa Umma. Anawakilisha serikali na kutetea maslahi ya raia wake huko USA...Huyu Balozi Amina anawakilisha Umoja wa Afrika (AU) katika mashirika hayo ya Marekani...naye ni mtaalamu na mwanadiplomasia. Sasa siasa hapa imetoka wapi. Kwa kuwa mwandishi anamtazamo wa kisiasa hawezi kufikiria zaid ya hapo. Hii ni aibu. Kaka michuzi uwe unahariri na kuhakikisha habari unapotumiwa,
ReplyDeleteAsante sana