Mgombea ubunge wa jimbo la Njombe Magharibi kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (chadema) Bw.Thomas Nyimbo akiwaeleza wananchi wa kata ya Ilembula na kata za jirani ambao walifika katika uzinduzi wa kampeni zake za ubunge Mgombea ubunge jimbo la Njombe Magharibi Bw Thomas Nyimbo ( wa pili kushoto) akiingia katika viwanja vya uzinduzi wa Kampeni za ubunge kata ya Ilembula leo huku akisindikizwa na umati wa wananchi wa jimbo hilo
Mgombea ubunge jimbo la Njombe kaskazin Alatanga Nyagawa akiwa katika mazungumzo na mgombea mwenzake ubunge kupitia Chadema Thomas Nyimbo (kulia) wote hawa walikuwa makada wa CCM ambao walihama CCM
Wagombea wa CHADEMA wa Njombe wakiangalia burudani toka kwa wasanii









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Michuzi una visa weye, mimi ni chadema sasa ndiyo nini kutuwekea wagombea wetu waliochoka? sawa CCM itachukua ila patachimbika mwaka 2015 kikwete akimaliza. shukuru utakimbilia huku reading,berkshire machafuko yakitokea tutakupokea ila unaudhi kuwa mchoyo badilika,kama unajua atakayekuzika sawa kumbatia ccm chama ambacho kinaweka watu ndani bila hatia

    ReplyDelete
  2. AFADHALI NDUGU ZANGU MNAJUA NINI HAMJATENDEWA KATIKA MIAKA ZAIDI YA 40 ILIYOPITA NA NINI MNATAKA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...