Habari zenu Ndugu wapendwa,

Tunayofuraha kubwa kuwafahamisha ya kwamba tovuti maalumu na rasmi ya Mhe. Jakaya M. Kikwete na Dr. M. Gharib Bilal sasa inapatikana kwenye mitandao:

www.kikwete2010.co.tz

Tembelea tovuti hii maalumu ya Mgombea Uraisi na Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM mwaka 2010 upate habari mbalimbali kama:

· Wasifu wa Wagombea – Mhe. Jakaya M. Kikwete na Dr. Mohammed Gharib Bilal.

· Mafanikio katika sekta mbalimbali.

· Sera na Malengo 2010 – 2015.

· Ratiba za kampeni.

· Hotuba maalumu.

· Matoleo ya Habari.

· Video na picha.

· Mitandao ya Facebook,Twitter na Youtube.

Kupitia tovuti hii na mitandao yake utaweza kupata taarifa mbalimbali na kutoa maoni yako.

“ PAMOJA TUZIDI KUSONGA MBELE”

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. yale yale....! whatever happened to Kikweteshein.com?????

    ReplyDelete
  2. inachukua muda kuload sana..

    ReplyDelete
  3. MBONA HAIONEKANI......??????

    ReplyDelete
  4. mafida wa wanamfisada hadi blog yake kweli amewashindwa!!!

    ReplyDelete
  5. Ahhh kwa mwendo huu tutafika kweli...Site haifunguki teh teh teh

    ReplyDelete
  6. I suppose the website is just crap.I took me more than five hours to load and still I can't see nothing..Arghhhh!!I gotta go to bed..Aaargh!!!!

    ReplyDelete
  7. Mbona mimi nimeifungua na inafunguka vizuri tu. Lakini sikutumia link iliyotolewa kupitia kwa Michuzi nimetumia link ya JIACHIE au Michuzi Junior inafunguka kirahisi tu wala haina shida.

    ReplyDelete
  8. Pole kwa kazi kaka Michuzi.

    Nimepitia kwa kirefu sera na malengo ya C.C.M lakini swala Ubaguzi ambalo lina kua kwa kasi kubwa halijatajwa wala kuguswa.
    Ni vigumu kulijua kama ujachanganya damu lakini lipo na linatisha na ndio maana wahindi wengi wengi wanaekeza nje ya nchi.

    Na sisi wenye vijidamu vya kiarabu tutafanya vivyo hivyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...