Ankal hope upo fine,
Naomba tumsaidie huyu dada mwenye picha hiyo niliyoambatanisha kwani zimeokotwa barabarani hapo nje ya ofisi yetu picha nyingi za kitchenipary yake. sasa haijulikani atapatikanaje. nimefikiria na kuona ni tukio la kukumbukwa kwake hivyo nikaona kwa vile blog yako inavisitiwa na watu wengi yawezekana mmoja wapo akamjua ili achukue picha zake. How do you see wazo langu? je twaweza kumpata kweli? kwa maelezo zaidi akitaka picha zake nyingine tuwasiliane through my email.
Regrds
Emmy
emmy@pct.co.tz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. NJIA RAHISI YA KUMPATA NI KUWEKA PICHA YENYE WATU WENGI, INAWEZEKANA KILA MMOJA WETU AKAMFAHAMU MMOJA WAPO KWENYE SHEREHE HIYO NA SI HUYU MLENGWA.

    ReplyDelete
  2. Wazo zuri anon hapo juu.

    ReplyDelete
  3. Weka picha zaidi ya moja inayoonyesha mapoz tofauti tofauti ndo twawezatambua vizr sura yake. Namuunga mkono mdau hapo juu picha ya watu na hata matroni wake

    ReplyDelete
  4. WAPE PICHA MOJA TU GLOBALPUBLISHER MAGAZETI YA UDAKU ATAPATIKANA MARA MOJA.TENA CHAPCHAP ILA WA INSIT WASICHANGE STORY.

    ReplyDelete
  5. duh no comment!!

    ReplyDelete
  6. duh no comment!!

    ReplyDelete
  7. michuzi mimi naona bora ungemtumia shamim zeze hii picha yeye hupenda kupiga picha za namna hii labda anamfahamu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...