vipya na vya kisasa kabisa vya kutangazia katika studio yao mpya iliyoko Kawe jijini Dar es salaam.
Jengo jipya la Radio Times 100.5 Fm lililopo maeneo ya Kawe,jijini Dar.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukigeu geu wa TCRA, hapo si nyumbani kwa marehemu Nyaulawa?
ReplyDeleteTCRA mmekuwa wakaidi na kudai kuwa Studio zisiwekwe residential areas , vipi sasa?
Yaani kifo cha cha Mzee Nyaulawa kimewawafanya mmelost sasa mme hamia kwa bosi wenu mrithi kweli mmechoka, jamaa mpo kwenye game longtime kitambo lakini hamkui wala hamuendelei, tuone sasa nachojua bosi wenu kaona kule business time mbali anataka apigie mswaki ndani kazi ndani
ReplyDeleteDUUUUU! KUMBE HOME KWA BOSS KUMEGEUZWA STUDIO????? ETI BOC APATE KUPIGA MSWAKI HUMO HUMO NIMECHEKA SANA, TENA MJENGO WENYEWE WA URITHI??? KAZI KWELIKWELI. LKN BORA KULIKO KULE KWA MWANZO KARIAKOO MAANA ZILE OFICE AS IF MABANDA YA KUFUGUIA KUKU. ALL THE BEST.
ReplyDeletehuo ni wivu tu kama nyumbani kwa baba yake nyie inawahusuuu?na nyie simuende kwenye vijibanda vya baba zenu mkaanzishe studio,chuki zimewajaa hamjui msemalo rehule wala hakai hapo watu wazima hovyoo!kweli jambo usilolijua ni kama usiku wa giza,kurosti mtarosti,horyaaaaaaaaaa mtakufa nacho kijiba cha roho,namba moja mpaka 99 REHULE NYAULAWA iliyobaki wewe hapo maskini wa roho!!!!

ReplyDeleteDuh hii kali. Kumbe kichwa cha habari ilitakiwa kisomeke: TIMES FM WAHAMIA NYUMBANI KWA BOSI WAO.
ReplyDeleteWadau kweli mumepinda.