Mkuu wa dawati la Elimu ya Umma wa PCCB Mkoa wa Morogoro, Mercy Manyalika ( wa kwanza kulia) akitoa mada iliyohusu ufahamu wa sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa wakati wa uchaguzi , pamoja na ya gharama za uchaguzi namba 6 ya 2010, kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) Septemba 21, mwaka huu mjini hapa ( wapili kutoka kustoto ) ni Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro, Stela Mpanju na ( wa kwanza (kushoto) ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Morogoro , Ahamed Msangi kutoka Jeshi la Polisi, ambaye ni Mwenyekiti wa Dawati la uchaguzi Mkoa Mkoa kama mwalikwa.
Mwanasheria wa PCCB Mkoa wa Morogoro, Debora Mlowe ( wa kwanza kulia) akifafanua jambo kuhusu sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa wakati wa uchaguzi , inayoendana na ya gharama za uchaguzi namba 6 ya 2010 kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) Septemba 21, mwaka huu ambayo iliandaliwa mahusisi na Taasisi hiyo kwa waandishi wa habari wa Mkoani Morogoro.
Baadhi ya waandishi wa habari wa Mkoa wa Morogoro pamoja na Polisi , wakishiriki mafunzo ya siku moja ya kuzifahamu sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa wakati wa uchaguzi ,pamopja na ya gharama za uchaguzi namba 6 ya 2010 yaliyofanyika Septemba 21, mwaka huu mjini hapa.Picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. PEEK A BOO!....I saw goodness!

    ReplyDelete
  2. HAWA NI WAUMINI WA HABARI KWANI MWANA HABARI NI YULE ANAYEANDIKA JAMBO SAHIHI NA PIA HUDADISI APEWAPO HABARI, LAKINI HAWA HAWANA TOFAUTI NA WANAOKWENDA KUSALI KWENI HAWAHOJI WAPEWAPO HABARI.

    ReplyDelete
  3. Michuzi (katikati) akiwa na kamanda wa FFU mkoa wa Iringa Said Mnunka( kushoto) na kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa (ACP) Evarist Mangalla ,Michuzi amekutana na makamanda hawa leo nyumbani kwa aliyekuwa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa mzee Tasili Mgoda. (Picha: Francis Godwin, Iringa.)

    ReplyDelete
  4. habari zenu wadau, sijui kama ni jina zuri isipokuwa nalitumia kwa kuwa tunazungumzia na kukabiliana au kuelekea upande unaofanana. vipi kuhusu ukumbi uliotumika, unaonekana kama unafanyiwa kazi, je concentration ya kikao ilikuwepo au TCCB hawangalii comfortability ya wajumbi ili waelewe na kufahamu kinachoendelea? Hapa kwa ukumbi huu wajumbe wamefuata posho tu na hamna uelewa.

    ReplyDelete
  5. Mnyalukolo mwezioSeptember 23, 2010

    Nakuona hapo dada debora a.k a mama yasin, hongera!

    ReplyDelete
  6. Sasa huyu dada yetu hapa "charangi" anacheka na makaratasi yake, wakati mwenziwe yuko katika harakati za kuandika. Kulikoni?.

    ReplyDelete
  7. JAMANI NASHUKURU KWA WALE WOTE WALIOJITOLEA KUTOA USHAURI NAMNA YA KUMPATA TASI. TAYARI NILISHAMPATA NA TUNAWASILIANA BILA TATIZO. aal090tz@gmail.com

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...