Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Dietlof Mare akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa hafla ya Vodacom Tanzania kwa kutoa huduma ya miaka kumi nchini Tanzania.hafla hii imefanyika asubuhi ya leo katika hoteli ya Kilimanjaro Kempiski.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru akitoa ufafanuzi katika mkutano na waandishi wa habari juu ya mtandao wa Vodacom utakavyoboreshwa baada ya kutoa huduma zake kwa muda wa miaka kumi hapa nchini.Mkurugenzi wa uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akikaribisha maswali mbalimbali kutoka kwa waandishi wa habari waliofikam leo katika hoteli ya Kilimanjaro Kempiski wakati wa mkutano wa Vodacom kusherehekea miaka kumi kwa kutoa huduma zake hapa nchini.
Baadhi ya wakurugenzi wa Vodacom Tanzania wakijibu maswali mbalimbali wakiongozwa na Mkurugenzi mtendaji Dietlof Mare wa tatu kutoka kushoto.
Baadhi ya wakurugenzi wa Vodacom Tanzania wakiwa katika sherehe ya Vodacom kutimiza miaka kumi ya kutoa huduma zake hapa nchini.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Vodacom wakiangalia picha mbalimbali tangia Vodacom ilipoanzishwa hapa nchini.
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru(kushoto)akipozi kwa picha na Mkurugenzi wa Mauzo Exaud Kiwali.
Kutoka kushoto Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Matina Nkurlu,Meneja Mawasiliano wa Vodacom Nector Foya,Afisa Habari wa Vodacom Kilasa Mtambalike,wakiwa wamepozi kwa picha mara baada ya sherehe ya miaka kumi ya Vodacom Tanzania.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wakiangalia historia fupi ya Vodacom Tanzania tangia ianze kutoa huduma zake hapa nchini.
Baadhi ya wakurugenzi wa Vodacom Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Picha zingine zinaonyesha wafanyakazi wa Vodacom na si wakurugenzi.

    ReplyDelete
  2. Kilasa mtambalike baba wa

    ReplyDelete
  3. Ni wanene wa kusign tu hapo...wafanyakazi wanakimbizana kutafuta kwa kutokea....paka akichomoka panya nao??? kaaazi kweli kweli!

    ReplyDelete
  4. jamani mwamvita awe rais,january waziri mkuu, na mzee mzima mkuu wa bunge tukufu, haya ndo amendeleo tnzania inayataka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...