kwa wale ambao hamjapita siku nyingi barabara ya morogoro road sehemu za ruvu darajani siku hizi mambo mswano kwani kuna bonge la daraja jipya lililojengwa pembeni mwa lile la zamani la chuma.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Daraja nzuri ila wameharibu kwa kuweka matuta karib na daraja, pamoja na road from Dar to Kilimanjaro!!

    ReplyDelete
  2. daraja zuri ila wameharibu wameziba kiasi kwamba wapitaji hawaono mto kama ilivokua awali

    ReplyDelete
  3. NDUGU ANONY WA "Tue Nov 09, 07:32:00 AM" NAFIKIRI HIVYO NDIVYO INAVYOTAKIWA KUZIBA MADARAJANI HASA IKIWA BARBARA YA KUPISHANA KAMA HAPO KWETU HAITAKIWI KIWEPO KITU CHOCHOTE KITAKACHOMFANYA DEREVA AGEUZE SHINGO NA KUSHANGALIA KITU PEMBENIMAANA INAWEZA IKASABABISHA AJARI YA USO KWA USO KATIKATI YA DARAJA NA LABDA MAGARI KUTUMBUKIA MTONI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...