baadhi ya majabali makubwa yanayopamba Tunduru mkoani Ruvuma. Wenyeji wanasema baadhi ya majabali hayo yalikuwa hayapo kabla ya kile kimbunga cha El-Nino. Wente data zaidi tufahamisheni hii habari



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ha ha haaa!!!we Mithupu unajua kuwa mtandao wako unasomwa na watu wengi duniani?na je unaijua jiografia ya nchi yako au unatembea na kuhisia tu?hivi kweli Tunduru iko mkoani Mtwara?si mara moja kukosea kuweka wilaya flani nipo mkoa flani wakati si kweli.Unatuaibisha sisi wa huku.

    ZAUNUNU-AMSTERDAM

    ReplyDelete
  2. TUNDURU NI MKOA WA RUVUMA . NA SIO MTWARA

    ReplyDelete
  3. Tunduru ni mkoa wa Ruvuma Ankal. Kabla ya elnino umekuwa uyoga?

    ReplyDelete
  4. Wenyeji waliodai kwamba yametokea baada ya el-nino walikuwa wanawafungeni kamba kabisa. Nilipita huko miaka mingi kabla ya hiyo el-nanihino, na hayo majabali yalikuwako hivyo hivyo.

    ReplyDelete
  5. jamani samahani kama nakosea mbona nimeona ameandika Tunduru mkoa wa Ruvuma?

    ReplyDelete
  6. wewe mtoa maoni wa 1 punguza lawama mzee mithupu ameandika Tunduru ni mkoa wa RUVUMA.acha kujichanganya

    ReplyDelete
  7. WEWE MTOA MAONI WA KWANZA PUNGUZA MAPEPE, HUJATULIA WEWE..... MTWARA UMEIONA WAPI HAPO....MITHUPU AMEANDIKA MKOANI R U V U M A. VERY CLEAR UNAJIAIBISHA MWENYEWE NA HIYO NETHERLAND YAKO.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...