Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilia akiongea na wanahabari katika ofisi ndogo ya Bunge jijini Dar es Salaam kuhusu shughuli za bunge ambazo zitaanza leo 8-17/11/2010.

MPANGILIO WA SHUGHULI ZA MKUTANO WA KWANZA WA BUNGE

TAREHE 8 - 17 NOVEMBA 2010

JUMATATU
08 Novemba, 2010
Tangazo la Rais Kuitisha Bunge
JUMANNE
09 Novemba, 2010
* Wabunge kuelekea Dodoma
* Kusajili Wabunge Wateule Dodoma
JUMATANO
10 Novemba, 2010
Usajili kuendelea Dodoma - Katibu wa Bunge

ALHAMISI
11 Novemba, 2010
Saa 4.00 Asubuhi
* Mikutano ya Kamati za Vyama vya Siasa
* Kikao cha Briefing UKUMBI WA BUNGE

Saa 10.00 Jioni
Kupokea majina ya wagombea Uspika (Nomination day)

IJUMAA
12 Novemba, 2010

* Mkutano wa Bunge wa Kwanza.
* Kikao cha Kwanza kuanza kwa kusomwa Tangazo la Rais la kuitisha Bunge
* Uchaguzi wa Spika.
* Kiapo cha Spika.
* Wimbo wa Taifa na Dua
* Kiapo cha Utii kwa Wabunge Wote.

JUMAMOSI ASUBUHI
13 Novemba, 2010
Wabunge kuendelea Kuapishwa

JUMATATU
15 Novemba, 2010
Wabunge kuendelea Kuapishwa

JUMANNE
16 Novemba, 2010 Asubuhi
Wabunge kuendelea Kuapishwa

Mchana
* Kuthibitisha Jina la Waziri Mkuu
* Waziri Mkuu kutoa Neno la Shukrani
* Uchaguzi wa NAIBU SPIKA

JUMATANO
17 Novemba, 2010
Asubuhi
Waziri Mkuu Kuapishwa IKULU -CHAMWINO

10. Saa 10.00 Jioni
RAIS KULIHUTUBIA BUNGE UKUMBI WA BUNGE

NENO LA SHUKRANI - WAZIRI MKUU

HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE

USIKU Tafrija ya Rais kwa Wabunge wote Viwanja vya Bunge

* ENDAPO ITAKUWA SIKUKUU TAREHE 15 AU 16 NOVEMBA, 2010 BUNGE LITASITISHA SHUGHULI ZAKE HADI SIKU INAYOFUATA. OFISI YA BUNGE

S.L.P. 9133

DAR ES SALAAM

8 Novemba, 2010

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. 1st agend mkianza bunge iwe kuitengeneza katiba iende na wakati. Kama vile vyama vingi. Hivi hao wabunge waliochaguliwa contact zao ni zipi . Nataka tuwape hoja za kupeleka bungeni ili kusaidia umma. Hao waliopo siku zote kama hawajazipeleka hizo hoja hata tukiwapa leo hawatafanya chochote...bora kuku mgeni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...