Lady Jay Dee akitoa heshima zake kwa kiongozi wa Msondo Ngoma Band Papaa Saidi Mabera wakati Baba wa Muziku walipotumbuiza na Machozi band ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama jijini Dar Ijumaa. Ama hakika ilikuwa burudani ya aina yake na washabiki wameomba zoezi hili liendelee kwani Msondo Ngoma ni ya watanzania wote na si ya tabaka moja tu la watu
Kepteeeein Gadna G Habash ambaye ni mpenzi damu wa Msondo akiwa haamini masikio yake kwa jinsi wazee walivyokuwa wanamwaga vitu stereo utadhani CD kumbe laivuwakati wa wimbo 'Cheusi Mangara'





MSONDO OYEE!MAGOMA KITAKITA.....WAPI KAMANDA GURUMO...MABERA UNATISHA
ReplyDeleteKidogo tuu...mambo hadharani.....kidogo tu...utakwendaa...ah Msondo afya!
ReplyDelete