Tembelea libeneke kipya la Mbongoland huko Moscow uomuone Rais Museveni tena BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Jamaa kweli anajituma..
    Hapo hata bila ya KUCHAKACHUA,
    lazima wananchi wampe Kura zao.
    Ubunifu wa kipekee..

    ReplyDelete
  2. duh! hii ya le kali mweee!!

    ReplyDelete
  3. Kwa nini asifanye featuring na Mr II (Sugu aka Mheshimiwa) wakatoa album? Nadhani itakuwa kali. Au wadau mnasemaje?

    ReplyDelete
  4. He is a gangster no surprise there. I ma so tired with these dictators.

    ReplyDelete
  5. hapo hakuna ubishi jamaa kajituma kurap hadi kimekubalika loh namkubali kwa miguu na mikono miwili mie hahahhha big up man fulu kuflow

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...