Viboko wakiwa wamesongamana katika dimbwi la maji kufuatia ukame unaosababishwa na majira ya kiangazi kwenye Hifadhi ya Taifa ya Katavi hivi karibuni. Picha na mdau Hilary Bujiku


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Tumezidi kukata miti ovyo,ukiuliza eti magogo dili.

    ReplyDelete
  2. Sijui kwa nini hatupandi miti baada ya kuikata.

    ReplyDelete
  3. Wapeleke kama magari ya zima moto halafu wawaongezee maji. Simple common sense

    ReplyDelete
  4. Kwa nini wasiweke Tanker moja trailer refu la maji ikitokea ukame kama huu katika mbuga za wanyama, Tanka linachota maji katika maziwa yalojaa maji na kumwaga shemeu kama hio ya wanyama abayo itakua na ukame ili kuhifadhi wanyama wetu wa Tanzania, mzee Michuzi naomba upost hii comments yangu Live isomeke na watu wooote.

    ReplyDelete
  5. KWA KUWA MSONGAMANO UMEKUWA MKUBWA, NA KABLA HAWAJAANZA KUFA, BASI TUWAPUNGUZE KIDOGO WENGINE TUFANYE NYAMA. KAMA SAMAKI WA MAGUFULI.MANA WENGINE HATUJALA NYAMA SIKU NYINGI.

    ReplyDelete
  6. Simple-Ecosystem.
    BTW Uswahilini mnabanana kama hivyo halafu hamsemi.Wapande au wasipande miti maji yatazidi ku-overporate to the sky.

    ReplyDelete
  7. WEWE MBIGILI UPUUZI MTUPU, (SIMPLE ECO SYSTEM?) KAMA UMESOMA NA KAMA UNAELEWA UJUE MITI HIKARIBISHA MVUA, OFCOURSE EVAPORATION IS THERE, IT HAS BEEN THERE, UMEONA KULE CONGO HAO VIBOKO WANAKUFA? THINK GREEN FOOL!! PLANT TREES THERE AND SEE IF THE RAIN WILL NOT BE ATTRACTED, NI KAMA DAR NA MOSHI VILE AU MBEYA NA DODOMA HUJUI KWANINI PENGINE PANA MAJI YA KUTOSHA NA PENGINE PAKAVU, AGHH WATU WENGINE BWANA HUJIDAI WASOMI KUMBE.....

    ReplyDelete
  8. hiyo ni dalili ya lanina(ukame) kama ilivyotabiriwa na wataalamu wa hali ya hewa nchini, kwa kuzingatia hilo wahusika ilibidi wajipange...
    Tatizo la kupuuzia hilo

    Amkeni sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...