Picketers outside the London
Court as captured by Ayoub Mzee

BAE Systems was Tuesday ordered to pay a £500,000 fine and £250,000 costs to settle a long-running corruption probe into the sale of a radar and air traffic control system to Tanzania.

The company agreed to pay the balance of a £30m plea bargain with the Serious Fraud Office (SFO) to Tanzania in reparation for its part in the $40m (£28m) sale of the equipment.

The fine and plea bargain relate to one charge of failing to keep accounting records. No charges or prosecution were brought for corruption against BAE.

However Mr Justice Bean said it was “naïve in the extreme” to think that BAE’s agent in Tanzania, Shailesh Vithlani, was paid millions of dollars simply as a “well-paid lobbyist”.

BAE accepted that there was “a high probability that part of the $12.4m (it paid Mr Vithlani) would be used in the negotiation process to favour BAE”.

However, the prosecution said it was impossible to establish what Mr Vithlani had done with the money and that it was no part of the Crown’s case that any part of the money were improperly used.

For more and Source

CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. SAWA KABISA NAONA KILICHOBAKI WATANZANIA UK NI KWENDA NO 10 PALE NA KUWAWEKA WAZI MAFISADI WOTE KWENYE MABANGO, WATU BAKI WANAENDA KUSIMAMA KWENYE BARIDI KUTETEA HAKI YETU, SISI TUNAENDA KUBEBA BOKSI!!

    ReplyDelete
  2. wazungu waitetea Tanzania kuliko watanzania wenyewe,sijaona mtanzania pale akiandamana pamoja na wazungu hao,watanzania tunafungua matawi ya ccm tu.damn!!!

    ReplyDelete
  3. Jamani watanzania wote hao wmnaoishi huko lakini wanaopicket ni waarabu. Tuipende nchi yetu bwana. Hapo ningetegemea kuona wabongo kibao wanaandamana. Vikao vya chama kila siku lakini mambo muhimu yanayuhusu nchi yetu hamna mtu...

    ReplyDelete
  4. Watanzania wa UK mko wapi...mbona ni Wazungu tu kwenye picha wanao andamana kupinga uhuni wa BAE??

    ReplyDelete
  5. Anko ni jambo la kusikitisha sana kwa wazungu kuwa na uchungu wa Watanzania kuibiwa wakati sisi wazalendo tumenyamaza kimya. nimesikitika sana kusikia kuwa hata mahakamani kulikuwa hakuna mwakilishi wa Tanzania au mtanzania yeyote anayeishi uingereza kujitokeza kusikiliza kesi hiyo. nampongea sana Ayubu Mzee kwa kutuhabarisha. JAMANI WABONO TUWE NA UCHUNGU WA MABILIONI YETU YANAYOPORWA NA MAFISADI

    ReplyDelete
  6. watanzania tuna tia haibu hata haki yetu wazungu ndo wanaandamana ! sisi weusi tupo wapi ?

    mdau paris

    ReplyDelete
  7. Mhn....sijui wakulima watacomment nini kuhusu hii issue....naona hapatatosha kwenye blog.......tatizo ni ankal kubania some comments........MWAGA VITU WEWEEEE

    ReplyDelete
  8. We demand head rollings in our Part, Tanzania. We never seen that happen, despite a repeated implications, and the so called officials on our side of the aisle,

    FRAUD and CORRUPTIONS become the name of the game, WHERE IS ACCOUNTABILITY ON TANZANIAN PART???

    can someone help me on that ?The only justice came out of London, but we remain resolute SILENCE, the government and Co.

    Probably it is time to call in the UK justice to do the job for us.

    ReplyDelete
  9. Hiki ni kichekesho kweli kweli, baada ya viongozi wetu kula dili na kuchukua milungula na kuisweka huko ulaya, na baadae kutuletea rada isiyofaa, mara wazungu wamecharuka baada ya kushtukia dili lilivyochezwa na viongozi wetu na kuiburuza kampuni yao wenyewe ya kiserikari mahakamani na mara fidia inalipwa tanzania. Hapa faida mara mbili maana milungula waliyoichulkua viongozi iko pale pale haijaguswa na serikari nayo inajipatia pesa bwerere, na rada nayo bado iko hatuirudishi. Hapa hajapata hasara mtu, ila faida kwa wajanja. Alex Bura Dar

    ReplyDelete
  10. aint it just peanut ? 30,000 pounds ?

    prolly will just be eaten by just one guy in TZ.

    At-least given enough that 10 people can fill their account and also Tanzanian general people benefit from the remaining .


    Et because they didnt keep the records ! they playing blind game to not to get criminal charges !

    bloody british !

    ReplyDelete
  11. Yaani waingereza ndo wametusaidia kuandamana sisi ahaha porojo tu.
    Bongo tunataka kujua nani na nani wamekula huo murungula na wanachukuliwa hatua gani

    ReplyDelete
  12. eti tujajidai sisi watanzania ni wapole na wapenda amani, nafikili hii si kweli , upole wetu ni wa "ujinga" na "uoga",vitu vinapanda bei kuholela watu wanalalamika chini chini tu,serikali inaingia mikataba mibovu na wawekezaji nk tunaona sawa tu,wewe ulishawahi kusikia wapi eti muwekezaji anasamehewa kulipa kodi kwa miaka mitano,harafu akiona miaka mitano inakaribia kwisha anabadilisha jina la kampuni yake au anamuuzia mtu mwingine na kuondoka nchini, ina maana huyu mwekezaji amevuna vyabure na kuondoka na midola kibao wakati mwananchi akiiba kuku tu kule ushahilini anachomwa moto, wachina wanatoka kwao na nauli tu, wakifika hapo tz wanahonga wanapata resident permint na kuanza kufungua magereji "mbuzi" na kuuza mauwa kariakoo, sasa huo ni uwekezaji kweli? watanzania tumekaa kimya na "upole na amani" yetu, mbona wenzetu nchi za jirani wakipandishiwa hata bei ya kibiriti au mkate wanaandamana, nafikiri iko siku moja vizazi vyetu vijavyo vitatushangaa na kutuona kuwa babu zao tulikuwa wajinga, mbona mababu zetu hawakuwa wajinga hivi? mkwawa, mtemi mirambo, mangi sina, rumanyika nk walipigana kidedea kukataa kutawaliwa? sasa kwa nini sisi wa kizazi hiki tuwatawaliwe na ufisadi tukae kimya? wakati ni huu,na majuto ni mjukuu....

    ReplyDelete
  13. Mimi nasema kila siku hizi sijui jumuia na vibanda vya CCM nje havina maana yoyote zaidi ya kuzipeleka kwa Michuzi. Ilikuwa wao ndio waandamane. Sioni wanachokizungumzia zaidi ya kula kachori na bajia. Akifa mtu, mnataka misaada badala ya kununua Life Insurance. Upuuzi tu ndio maana sina muda na mijumuia yenu, sana sana mnataka kunipofoa macho.

    Maraha ni Pesa

    USA(karibu na Mungu)

    ReplyDelete
  14. mdau wa Wed Dec 22, 02:32:00 AM una akili finyu namna hii? mwarabu yuko wapi hapo? kwa kuwa tu mtu mweupe na amevaa skafu kichwani basi ni mwarabu!!!

    ReplyDelete
  15. msiwalaumu wana ccm waliokuwepo uk kwa kutofika katika picket hiyo, sababu kubwa ya kutofika ni kuwa hapana faida nao, hakuna pesa za bure za kutafuna! kwa hivyo ilibidi waendelee na kupiga boksi.

    ReplyDelete
  16. mambo ya julien assange. mengi yatafichuka tu ili mradi dogo yuko mtaani sasa. tue mambo wikileakisi

    he he he he he azi kwei kwei

    ReplyDelete
  17. Mr Michuzi.habari za madiaspora /matawi ya ccm na jumuia zao tumechoka kuzisikia/kuzisoma sasa tunahitaji mambo kama haya.inawezekana wabongo walioko huko wamekua waingereza kuliko waingereza wenyewe wanashindwa hata kujitambua tena wengi wao ni wasomi!aibu tupu.

    ReplyDelete
  18. wote wajinga hamjui mnachokifanya huko.na sisi tuliobaki nyumbani tuandamane ili tuhakikishe DOWANS ISije lipwa ikatubudi kufidia kwa kuwachangia kwny tarrifs

    ReplyDelete
  19. wewe mtowa maoni wa Wed Dec 22, 02:04:00 PM julien assange amehusu nini hapa? kesi hii imeanza miaka tele kabla ya wikileak, sasa kabla ya kujifanya unajua si kwanza fanya utafiti wa unachotaka kujifanya unajua?

    ReplyDelete
  20. ha ha ha! wabongo wengine bwana! hii ndio sababu kubwa huwa napitia blog hii maana hukosi cha kukuchekesha, eti waarabu! mentality za watu wengine bwana!

    ReplyDelete
  21. mdau wa Wed Dec 22, 12:58:00 PM umshamba kiasi gani? Inaonyesha wewe ni wakuja pure!!!!!

    ReplyDelete
  22. Hapo tunaona Watanzania wenye asili ya kizungu na kiasia wakiwa wameshika mabango pamoja na 'friends of Tanzania'.

    Watanzania wamatumbi ni woga kama nini si tu wakiwa Bongo bali hata Ughaibuni, uwoga ni silika yetu Watanzania.

    Please wake-up and stand-up my People.
    Mdau
    UDOM

    ReplyDelete
  23. Watanzania wa UK wote ni wana CCM wataandamana vipi? Na sio UK tu bali karibia nchi nyingine zote.

    ReplyDelete
  24. Watanzania wa UK kazi yenu nikuvaa njano na kijani tu nakukumbatia mafisadi. Shame shame shame!!! Mnapata off days zakuhudhuria mikutano ya chama wakubwa wenu wakija lakini hamna off days zakulilia rasilimali za nchi huo ni uzalendo kweli??? Shame on you people namlaaniwe kwakuwapotosha watanzania wote kwa hidden agenda zenu.

    ReplyDelete
  25. RICH N,Y N,ROCHDecember 22, 2010

    Mzee J mashaka anapotoa elimu YA bule jinsi wananchi wanavyo weza kujikomboa kutoka kwenye ujinga cha kwanza ni mapumbavu ya TRA,TANESCO NA MATOTO YA MAFISADI KUMTUKANA NA KUONA HANATAKA KWENDA W HOUSE OK MNAUWEZO WA KUA NA MTANDAO WA KUMTUKANA MASHAKA FINE LAKINI YEYE ZUMUNI LAKE NI KUELIMISHA JAMII INAYO UMIZWA NA BABA ZENU NA Q TOKA KWA MASHAKA,NAOMBA JIBU HAPA JE NANI TUTAMLAUMU J MASHAKA KWA HILI AU UCHUNGU WA WANANCHI KWA KUCHEZEWA KWA MDA MLEFU TANZANIA PLEASE PLEASE HAMKENI TUNANYAYASWA SANA TENA SANA SUPPORT PEOPLE WHO ARE TRYING TO EDUCAT YOU AND OPEN UP THE TRUTH THERS MORE BUT SOME ARE AFREID BECOUSE THERS NO SUPORT FROM US THAT WE ARE GIVING TO THEM LOOK AT M R KING HE GOT SUPPORT N MANDELA HE GOT SUPPORT LET US DO TO J MASHAKA THAT WHAT AM ASKING FROM YOU GUYS BE BE LEELY

    ReplyDelete
  26. (kaka Michuzi Tafadhali naomba utume hii kama posti na sio comment hapa ili watu wote waisome)
    TAMKO LA WAZI KUHUSU KESI YA BAE NA TANZANIA KUTOKA KWA WATANZANIA UK.

    Sisi kama watanzania UK (na wengine wana CCM) tunapenda kusema kuwa tumepitia comment zote za kuhusu post iliyotolewa ya BAE kulipa faini kwa Tanzania kutokana na uuzaji wa rada mbovu na kusikitishwa kuona kwamba tunalaumiwa kuwa hakukuwa na mtanzania hata mmoja ambae alikwenda kuandandamana wakati kesi hiyo ikisikilizwa. Ukweli na mambo ni kwamba watanzania wenzetu mlioko nyumbani kwa kokote ulimwenguni mna haki ya kutulaumu kwa hili hatukatai, lakini je unawezaje kwenda kuandamana bila ya kuwa na taarifa yeyote ya hilo jambo ? If fact hizi habari ndio tunazisoma hapa kwa kaka Michuzi kwa mara ya kwanza. iliyojiri ni kuwa wengi wa watanzania tulikuwa hatuna taarifa na hilo. Na binafsi tunaweza kuulaumu Ubalozi wetu au Jumuiya yetu ya Watanzania kwani kungekuwa na mikakati ya kuhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania waliokuwapo hapo London wana taarifa ya kesi hii kusikilizwa hiyo siku then uhakika tungejitokeza kwa wingi sana kuandamana ,tungepumzika kubeba maboksi tukaenda kusikiliza maamuzi yanayohusu Ufisadi huu.
    La Msingi lililobaki sasa ni kufuatilia kupitia Serikali ya Tanzania, Ubalozi wa Tanzania Uingereza na Mwanasheria Mkuu wa Nchi JE HIYO Millioni poundi 30 (ambayo ni kama Billioni 6 shillingi hivi ) na UShee ambayo tunajua Hakimu wa Uingereza katoa order tulipwe italipwa vipi na lini ? KWa sababu isije ikawa kimya siku ya mwisho hiyo pesa ilipwe nusu tena iende kwenye account ya mtu au kikundi cha watu nje ya nchi. HIYO NI PESA YETU TANZANIA NA TUHAKIKISHE IMERUDISHWA NYUMBANI KUCHANGIA MAENDELEO YA NCHI.

    AHSANTENI

    MDAU , LONDON , UINGEREZA.

    ReplyDelete
  27. TATIZO NI USHIRIKINA JAMANI, NAONA TUNALOGWA WATANZANIA, NI UCHAWI HUU, IWEJE KWELI WANAUME WAFANYIWE HAYA ALAFU MMEZUBAA?? KUNA KIUCHAWI GOING ON WAZALENDO, TUMEPULIZIWA SHETWAN LALA, TUMELALA DORO! KWISHNEY KABISA WALAHI.

    ReplyDelete
  28. Jamani hata wale wadiaspora wa huko UK wanaoendesha mikutano ya kuhamasisha uwekezaji nyumbani mmeshindwa kumtuma mwakilishi mmoja kujiunga na hao waingereza kulaani ufisadi huo!!!! Shame on you!!

    ReplyDelete
  29. Haloo... wanajumuiya mmesahau kitukimoja - HAANDAMANI MTANZANIA kwa sababu anaogopa kurudishwa nyumbani. Ugenini ni ugenini tu... wacha wenye nchi waandamane tutawapa ushirikiano wa email. Duh.. mnaleta masihara nini? Watu tuandamane alafu tuswekwe ndani na baadaye ndege ya kurudi nyumbani.. ah.. kisha ukifika bongo na kudai ulikuwa unaandamana kutetea nchi watu wa humu humu watakuona haufai. Aka!

    ReplyDelete
  30. Anony wa saa 04;25 asante sana umeliona hilo hadi wanawasaidia kubeba bango....huu utumwa wa ahadi sijui watu wataziacha lini....Hivi Ayubu ni mwandishi wa serikali UK au?

    ReplyDelete
  31. Michuzi kama nia yako ni watu kkujadiliana usinibanie mawazo yangu sababu tu yanataja CCM.

    ReplyDelete
  32. Tatizo Watanzania hasa walioko huko ughaibuni ni watumwa wa mawazo, eti anaogopa kurudishwa nyumbani, huko si kufilisika kimawazo? Mmejikalia tu huku tukiporwa hivi hivi kama mijitu iliyokufa. Hamna maana Watanzania wa Ughaibuni. Na msije kujidai mnatafuta kura zetu, tutakumbushia mlichofanya ili ijulikane na jie ni ma agents wa mafisadi.

    ReplyDelete
  33. Mimi nakushangaa mtanzania mwemzetu hapa UK unasema huna taarifa, naomba jisemee nafsi yako kama ulikua na uchungu ungeifuatilia kesi, mimi kama mtanzania nakubali tumekosa maana hili shauri liliandikwa katika magazeti na kutolewa kwa hukumu yake pia ilitangazwa ila nauliza watanzania wenzetu nyumbani nanyi mumefanya nini?????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...