JK akimuapisha Jaji Mohamed Chande Othman kuwa Jaji Mkuu kuchukua nafasi ya Jaji Mkuu anayemaliza muda wake Mh. Augustino Ramadhani katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar leo
JK akiwa na Jaji Mkuu mpya na Majaji wa Mahakama
kuu na wa Mahakama ya Rufaa katika hafla hiyo

JK akimpongeza Jaji Mkuu mpya baada ya kumuapisha leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. jaji mpya anaonesha yuko serious sana.nadhani atatuvukisha kupata katiba mpya bila matatizo.mungu awalinde yeye na JK

    ReplyDelete
  2. inaelekea bendi ya polisi ilikuwa inapiga muziki wake wakati Jaji Mkuu anakula kiapo.

    jamani mtatusagia sana wabeba maboksi lakini ukikaa sana huku nje basi kila jambo unataka lifanyike inavyotakiwa.

    ReplyDelete
  3. jamani dr Bilali kawa jaji au ni macho yangu manake duniani wawilix2

    mdau matimbanya!
    wa kazi mzimbu!

    ReplyDelete
  4. Haya majoho mekundu tulirithishwa na wakoloni wa kiingereza, ninaona kuna sababu ya kuyabadilisha na kuvaa majoho ambayo yanafanana na mila na desturi zetu za kiafrika.

    ReplyDelete
  5. Ebu we mdau hapo juu ishia huko na mawazo yako mgando, nyie ndo wale wale kila kitu mkoloni basi nenda kakae porini ule na mizizi uvae na magome ya miti kama kina kinta kunte, na magari yaliletwa na wakoloni pia anza kukwatua na miguu ili udumishe mila, mnajidai na desturi kila siku zipi hizo?

    ReplyDelete
  6. Anonymous wa saa 01:04 am umechemsha, huwezi sema kuwa majoho mekundu ni urithi toka kwa waingereza, mbona hata wewe hapo umevaa urithi wa wazungu ? Desturi ya mavazi yetu waafrika ni magome ya miti na majani makavu ndo asilia yetu, kila kitu tunaiga toka kwa wazungu hata computer hii tunayoitumia. Hata kuapishwa ni desturi za wazungu.

    ReplyDelete
  7. huyu mwarabu atatusaidia sana kuhakikisha katiba anayoipinga werema inabadilishwa na kuturuhusu sisi waislamu kuanzisha mahakama ya kadhi na kuhakikisha zanzibar inajiunga na oic, na kwamba zanzibar itaongozwa kwa kutumia sharia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...