Home
Unlabelled
kwikwi ya usafiri daraja la wami disemba 24...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WAT WA TZ NI BWEGE SANA. INABIDI WAENDE MUZUMBE CHUO KIKUU CH UNIVESITI CHA KULE MOLOGOLO WAKASOME ECONOMY CRISIS ILI WAJUE KUENDESHA MAGALI VIZULI. FYATU TU
ReplyDeletewewe mtoa maoni wa kwanza inatakiwa wewe uende zanzibar kule kuna chuo cha taasisi na lugha za kigeni ukasome kiswahili kwanza kabla hata hujatowa maoni kwenye mtandao huu .....utumbo mtupu uliouandika hapo juu..pumbavu mmoja weeeeee
ReplyDeleteWewe mtoa maoni PETER MICHUZI NALITOLELA,halafu hili jina la MICHUZI umeliiba na hata hufahamu maana yake.
ReplyDeleteMimi nakwambia wewe ndiwe bwege kwa kuwa kuwa hujui kiswahili ,kwa taarifa yako hakuna chuo kiitwacho 'MUZUMBE CHUO KIKUU CH UNIVESITI' na hakuna mkoa uitwao 'MOLOGOLO'.Ha ha hahah yaani unaandika kama una mapengo ,kajifunze kiswahili vizuri ndio uwe na uwezo wa kuwaita wenzako mabwege. Mwenyewe
Nicholas Daniel,Netherlands
Ahh watu wengine bwana!!?? yaani wewe mtoa maoni saa 10-17pm unayejiita Peter Nalitolela (wa kwanza hapo juu) Una akili timamu wewe kweli? yaani mtu akasome Economy ndo awe na ujuzi wa kuendesha gari vema? ungetangulia kwanza wewe kusoma LUGHA ya kiswahili halafu dno uje toa Mada zako za kipuuzi, kichwa Boga wewe.
ReplyDeleteHuyo mtoa maoni ya kwanza hana lolote, sijui anafikiri anamfurahisha nani. Sijui lengo lake hasa ni nini!
ReplyDeleteHakika dunia ina 'wanyama' wa ajabu!.........
NYINYI WATU YOU ARE BWEGE SANA. I HAVE DEGILII OF ECONOMY FROM MUZUMBE NIVESITY OF COLLEGE OF MOLOGOLO. AND WAKS AT BOT AND STANDARDS BANK OF TANZANIA. I AM GRAJUET WITH JK, MICHUZI, KANUMBA, HASHEM THABEET OF MEMPHS GRILIS AND YOHANA MASHAKA OF INVEST BANK OF AMELICA. AND I SEE TAKUKURU COME FOR U AND BAD DRIVING TO KEKO. BWANA MUAHACHEGE KUKULUPUKA BWANA MIMI NI MTU MAKINI SANA. NIMETULIA TU SUBIRIRINI NITOKE NA HOJA BINAFSI ZILIZOTULIA TOKA CHUO KIKUU CHA MUZUMBE CHA UNIVESITY
ReplyDeleteNyie wadau nadhani ni wageni humu ndani kama hamumjui peter nalitolea aliyesoma chuo kikuu cha mzumbe university ya kule mologolo mtajiju...
ReplyDeleteanapenda sana kuandika ovyo kwa makusudi tu mbaya zaidi akikuunganishia na kiinglish ndo utakoma, mwanzoni nilishangaa kama nyinyi nikaja kujua huyu ni jamii ya joti na si vinginevyo!!
Achaneni na huyo Peter Michuzi Nalitolela (kama hilo ni jina lake kweli). Huyu anafanya makusudi kuamsha jazba za watu humu na inaelekea anafanikiwa. Tutoe maoni kuhusu hizi ajali zisizokwisha Bongo, na sio kujadili watu.
ReplyDeleteNadhani hapo kwenye daraja la wani wanhitaji kuwa na kituo cha serikali cha zima moto pamoja na gari kubwa la kuweza kuondowa magari yaliyokwama njini, haraka iwezekanvyo, uwezo huo tunao. Lakini wizara husika imelifumbia macho. Inasikitika sana kuona sual dogo linachukuwa siku nzima. Wasomi Tanzania tumeshindwa na wakulima.
ReplyDelete