Wachezaji wa timu ya Taifa Stars wakiwakamata Nsajingwa na Godfrey Taita ili kuwalinganisha sura zao wakati wa mazoezi ya Stars Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo asubuhi. Taita na Nsajigwa wamefanana sura kiasi hata wenzao wanawaita mapacha. Taifa Stars wako kambini kujiandaa na michuano ya kombe la Nile Basin litalofanyika kwa wiki mbili huko Misri mwezi ujao. Washiriki ni nchi zote zinazopakana na mto Nile.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mnaonekana mna furaha na mnapendana. Hayo ni mafanikio pia, na tuna imanai mtafika mbali. Hongera Stars!

    ReplyDelete
  2. Hahahahaaaaa Safi sana! Hii inafurahisha...

    Mzozaji

    ReplyDelete
  3. i like it this is make a Teamspirit.

    ReplyDelete
  4. Safii sana, wakati wa Maximo haikuwa furaha ya namna hii, ilikuwa fukuza ingiza fukuza ingiza. Hakuna timu inayoelewaka, hata wachezaji walikuwa makundi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...