Wachezaji wa timu ya Taifa Stars wakiwakamata Nsajingwa na Godfrey Taita ili kuwalinganisha sura zao wakati wa mazoezi ya Stars Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam leo asubuhi. Taita na Nsajigwa wamefanana sura kiasi hata wenzao wanawaita mapacha. Taifa Stars wako kambini kujiandaa na michuano ya kombe la Nile Basin litalofanyika kwa wiki mbili huko Misri mwezi ujao. Washiriki ni nchi zote zinazopakana na mto Nile.
Home
Unlabelled
'Mapacha' wa Taifa Stars: Nsajigwa na Taita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mnaonekana mna furaha na mnapendana. Hayo ni mafanikio pia, na tuna imanai mtafika mbali. Hongera Stars!
ReplyDeleteGod Bless
ReplyDeleteHahahahaaaaa Safi sana! Hii inafurahisha...
ReplyDeleteMzozaji
i like it this is make a Teamspirit.
ReplyDeleteSafii sana, wakati wa Maximo haikuwa furaha ya namna hii, ilikuwa fukuza ingiza fukuza ingiza. Hakuna timu inayoelewaka, hata wachezaji walikuwa makundi.
ReplyDelete