WADAU!! HII KAZI NIMEIFANYA KWA SABABU WATU WENGI WAMEANZA KUKIUZA KILA KITU WALICHOKUA NACHO KWA SABABU YA PESSA . MUNGU KAMPA BINADAMU MOYO TU NA UTU NA UBINADAMU NA UKIFA BILA UBINADAMU HATA KAMA ULIKUA TAJIRI UTAKUA HATIANI KWA HIYO HII VIDEO NA WIMBO NI KUWAKUMBUSHA BINADAMU WENZANGU USIUZE UBINADAMU KWA SABABU YA PESA KWA SABABU MUNGU ATAKU ULIZA SIKU YA MWISHO - YAANI NEVER NEVER SURRENDER

BY THE BUSHMAN ALEX KAJUMULO.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. hivi yupo serious Kajumulo?please.

    ReplyDelete
  2. Duh..kaka alex, bora tu uache kuimba. Uza tu nguo zanko na fundisha mpira!

    ReplyDelete
  3. Lini unakuja kuendeleza team yako ya Kajumulo hapa Dar? AFC Arusha umewaacha njia panda...Zanzibar nao vilevile, Ghana nilikusikia umepita......

    Never never never build your empire/pride on the shoulders of your country men.

    Hata wanzungu huko ulioko wanakiona cha moto...

    unaweza kuwadanganya baadhi ya watu kwa kipindi fulani, lakini hutaweza kuwadanganya watu wote wakati wote......hata hilo gitaa naona umelishika tu huna unachofanya.

    ReplyDelete
  4. Little advice Bro,
    Find a day job,U sound terrible, and Music aint ur hussle for real.

    ReplyDelete
  5. Kaka nimekubali wewe ni bonge la fighter. never give up bro.
    Alex, MD

    ReplyDelete
  6. Mkiambiwa Marekani kama bongo au bongo kama marekani mnabisha.Marekani bila ujanja ujanja utakoma kuringa.Kwanza huko anakoishi Washington State kuna mafuriko lazima afanye ujanja wa kupata cha mboga.

    ReplyDelete
  7. hahahahahaaha huu usanii wa hali ya juu!!!!

    ReplyDelete
  8. kazi, kweli , kweli.

    ReplyDelete
  9. never never never singi ageini.

    Mdau NY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...