Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Makumira, Arusha, wakiwa wamejioanga tayari kuanza maandamano mchana huu kudai mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na mikopo. Habari kamili inafuata punde...
Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha Makumira, Arusha, wakiwa wanaandamana katikati ya barabara ya Arusha-Moshi na mabango jambo ambalo lililosababisha magari kushindwa kupita barabarani hadi polisi walipokuja kuwatawanya kwa mabomu ya machozi mchana huu.
Picha na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nashangaa sana Nchi ye2 imekuwa ya Migomo kila kukicha, Je migomo ni suluhisho?

    Nchi ye2 kila kukicha kama cMigomo bac ni Maandamano. Je tunaelekea wapi? Je huu ni utamaduni gani?

    Mimi ninachanganyikiwa cjui suluhisho ni lipi?

    Naomba ushauri.

    Msafiri.

    ReplyDelete
  2. chuo binafsi hiki

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...