Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr Charles Kimei (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Shule ya biashara ya Millpark Business School Bw.Julian Van Der Westhuizen (kushoto) na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof.Rwekaza Mukandala (kulia), wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuendesha programu hiyo ya mafunzo yatakayoimarisha zaidi utendaji kwa watumishi wa Benki hiyo na Benki zingine nchini Tanzania. 
Wafanyakazi wa Idara ya Rasilimali watu ya Benki ya CRDB wakiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dr. Charles Kimei, Afisa Mtendaji Mkuu wa Shule ya biashara ya Millpark Business School Bw.Julian Van Der Westhuizen na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Rwekaza Mukandala baada ya uzinduzi rasmi wa programu hiyo.katika hoteli ya Movenpick.



Kusema ukweli wadau mie CRDB naiona kama ndio Benki ya mfano wa kuigwa hapa TZ, wengine ni UTAPELI tu esp. zile za kigeni. zimekuja kuchuma then waondoke zao. Angalia huta interest rete zao mara zote wana-discarage waTZ kukopa au ukikopa huwezi kuridisha! Na achangiaji wao wa hudumaa za kijamii ni mdogo sana sana!NMB nao wako matawi ya juu lakini waliobakia Mh!
ReplyDelete