Home
Unlabelled
ajali kijiji cha mathayo, mkomazi, tanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chamsingi hakuna aliyepoteza uhai. Ila umenipa hamu ya kwenda Moshi!
ReplyDeleteBasi kwa uzembe walionao madereva wetu tanzania si ajabu ukasikia labda basi kubwa la abiria limekuja kukumba hilo trela na watu wengi wanapoteza maisha,yaani nchi yetu haijulikani tunaelekea wapi,Inabidi traffick asimame kujaribu kudhibiti magari ili yapunguze mwendo.Tuombe mungu hilo trela liondolewe haraka ili kuzinusuru roho za watu.usipozoba ufa utajenga ukuta !!!
ReplyDeletemdau Tokyo,Japan.
Kazi ya police Tanzania ni ngumu sana kwani vitendea kazi hakuna kabisa!!!! huyu police maskini hata GARI la police hana(kwani police light kutoka kweny gari zingeweza kualati madereva wengine),coni zile za kuweka barabarani hawana??? Hivi hawa police ambao hawana gari wanaposimamisha gari na dereva akiamua kutosimama watafanyaje? kama wanategemea kuchukua namba ya gari hiyo si dereva anaweza kuweka feki?
ReplyDeleteMaisha ya kufanya kazi kwa kuomba mungu tu yanatakiwa yakemewe, police wanatakiwa wafanye kazi zao za kulinda usalama hii ni pamoja na kuhakikisha kwamba sehemu zote za hatari hama hapo pawe speed limit ndogo, pawe na police wenye mashine za kupima speed. wapewe hata pikipiki kama gari ni bei mbaya. kuna pesa nyingi sana barabarani ambazo 99% zinaishia kwenye mifuko ya wajanja. mpaka atakapotokea mtu anejua kuzikusanya na kuziweka kwenye mfuko wa serikali, maisha ya raia wa Tanzania barabarani siku zote yatakuwa hatarini.
muheshimiwa MICHUZI unasema police wanafanya kazi ya ziada, si kweli.POLICE WETU HAWAPO ORGANIZED.
GOD bless the future of Tanzania