Align CenterBondia Awadh Tamimu akinyanyuliwa juu juu mara baada ya kumalizika kwa mpambano dhidi ya mpinzane wake wa siku nyingi,Ashraff Suleiman. Awadh Tamimu amemshinda mpinzani wake Ashraff Suleiman kwa Knock Out katika raundi ya saba ya mchezo wao wa ngumi uzito wa juu uliomalizika usiku huu katika ukumbi wa DDC Mlimani Park jijini Dar.
Awadh Tamimu akiwa amempa makonde mazito mpinzani wake mpaka kumfanya akae chini.
makonde mpaka chini.
... imepita hiyooo...
haya na wewe chukua hiyoooo.
hapa kazi ipo.
Kwa mapicha zaidi
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Sio "NO" ni "K.O" = KnockOut

    ReplyDelete
  2. MABONDIA WA BONGO WANA VITAMBI KAMA WABUNGE????????? INAONESHA DIET IN ZIRO HAPO JUST KULA CHIPS KUKU KWA WINGI NA JUNK FOODS....

    ReplyDelete
  3. TAMIM IS THE ONE OF THE BEST BOXERS IN AFRICA..U GO STRONG MAN.

    ReplyDelete
  4. Ndugu wakwanza tofautisha uzito kuna laht fry, but fray heavy laght kwa hiyo usine wanavitanmbi lakini jast niwepesi

    ReplyDelete
  5. Kisheria bondia hatakiwi kumtwanga bondia mwenzake akiwa ameshaanguka chini. Refa aliyesimamia hili pambano alitakiwa am-disqualify Tamim kwa kumpunch huyo bondia
    1-kwa nyuma
    2-Bondia alishaanguka chini.Kama magoti yameshagusa sakafu hiyo inahesabika Knock down hivyo refa anatakiwa awatenganishe mabondia.
    Hiyo picha ya tatu inaonekana Tamim alikuwa bado anamshambulia mwenzake angali yupo chini na amegeuzia mgongo.
    Hii hairuhusiwi ktk sheria ya ndondi na michezo mingine ya kupiga.
    ****Michuzi usiibanie hii***

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...