
Frederick Mwakalebela akiwa na wadau
pamoja na na mai waifu wake baada ya kuachiwa huru leo
pamoja na na mai waifu wake baada ya kuachiwa huru leo
Aliyekuwa mshindi katika kura za maoni ndani ya CCM katika jimbo la Iringa mjini kupitia CCM Frederick Mwakalebela na mkewe Celina leo wameachiwa na mahakama ya hakimu makzi Iringa katika kesi yao ya rushwa katika mchakato wa kura za maoni baada ya mahakama hiyo kuwaachia huru kuwa hawana kesi ya kujibu.
Leo mahakama hiyo ilikuwa ikitoa maamuzi madogo ya kuendelea ama kutoendelea katika kesi hiyo ambayo ilifunguliwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru ) mkoa wa Iringa.
Hii ni mara ya pili sasa Mwakalebela kuishinda Takukuru mahakakani wiki iliyopita Mahakama pia ilimwachia Mwakalebela kabla ya Takukuru kumfungulia tena kesi Mwakalebela.
Wadau wengi wamekuwa wakihoji sababu ya Takukuru Iringa kuendelea kumshikia bango Mwakalebela huku watuhumiwa wengine wakiachiwa bila kusumbuliwa kama yeye. Habari zaidi baadaye kidogo...
AKUKURU OVYOOOOOOOOOOO,MNAACHA KUFUATILIA MAMBO YA MAANA MNAHANGAIKA NA UPUZIIIIIIIII.MBONA MAFISADI WAPO TU WANATANUA.
ReplyDelete....Mungu hamfichi mnafiki. Mmemnyima ubunge Mwakalebela kwa fitna tu, matokeo yake aliyekuwa anautaka kaukosa! Sisiemu Bwana!
ReplyDeleteAngejaribu tu kuhama chama ingekula kwake, anyway hii ilikuwa hivyo ili mama Mbega apate nafasi ikala kwake
ReplyDelete