Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk Wilbroad Slaa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. ASANTE MWANAKIJIJI KWA MAHOJIANO YAKO NA DR SLAA, ILA NATAKA KUKUMBUSHA TU KUWA FIKRA SAHIHI HUJA KWA LUGHA FASIHI. NASHINDWA KUKUELEWA LENGO LAKO NI LIPI KWA KUTUMIA LUGHA YA KIINGEREZA KWENYE MAHOJIANO HAYA? INA MAANA TANZANIA WANAZUNGUMZA KIINGEREZA KWA ASILIMIA KUBWA? NADHANI INGEKUWA BUSARA ZAIDI KUTUMIA LUGHA YETU YA TAIFA KWA MASLAHI YA WENGI. VINGINEVYO NINAONA KAMA UNAJARIBU KUTANGAZA NJAA KWA WENYE LUGHA HUSIKA ULIYOTUMIA.
    THAMINI KISWAHILI WAPE WATANZANIA WANACHOTAKA, JINA LENYEWE NI "MWANAKIJIJI" IWEJE UNATUMIA KIINGEREZA? AU NDIO YA MAMBO YA FILAMU ZA KIBONGO KUWA NA MAJINA YA KIINGEREZA ALAFU NDANI WANAZUNGUMZA KISWAHILI? KUWA MWANAHARAKATI WA KWELI TUMIA LUGHA INAYOELEWEKA VYEMA KWA WENGI.

    ReplyDelete
  2. michuzi huyu mzee mzima aliyekosa akili na busara wa nn kutuwekea hapa hatumuhitaji ss kumuona

    ReplyDelete
  3. Mtangazaji anakanumba !!LOL bora ungetangaza kiswahili tu !!

    ReplyDelete
  4. huyu mzee anapotaka kutupeleka sipo akitaka uraisi wa nchi akagombee kwao arusha na sio tanzania nzima uraisi wa karatu unamfaaa kwani ameonyesha ni jinsi gano asivyowapenda watanzania na kujifanya unafiki eti kwenda kwenye kaburi la nyerere nyerere mwenyewe wenguine tulikuwa hatumkubali vilevile

    ReplyDelete
  5. slaa's english is far better than j.k's period.wewe anon wa kwanza kama hujui kiingereza sasa utaunganishwa vipi na dunia nyingine maana dunia sasa hivi watu wanatumnia english sio biashara sio kazi sasa wewe unang'ang'ania kiswahili ambacho kinawarudisha nyumba na isitoshe umeongea kiswahili toka umezaliwa umepata nini,jaribu hata kwa siku moja...no wonder hata visa ubalozini umenyimwa.

    ReplyDelete
  6. wewe unaesema huyu mzee wa nini naona unajipendekeza kwa ccm ili upewe hata ukatibu wa shina, ila umefulia coz ccm hawakupi cheo chochote hadi uwe "mwenzao" shaur yako.

    ReplyDelete
  7. mwanakijiji kasumba imemjaa, kingereza chenyewe anaunga unga..sioni kwa nini hakutumia kiswahili

    ReplyDelete
  8. Pumba tupu!
    Poleni wadanganyika

    ReplyDelete
  9. Tatizo wanegefanya mahojiano kwa kiswahili ingechukua masaa zaidi ya mawili na watu hatuna muda huo wa kusikiliza mahojiano kwa masaa 2! Mwanakijiji sio mjinga kwa kufanya mahojiano kwa kutumia lugha ya kiingereza, na kingine anataka dunia yote ipate ujumbe wa nini kinachoendelea Tanzania na namna ya kufikisha ujumbe ni kwa lugha ya kiingereza. Kama wewe ni maimuna kuna english courses sehemu nyingi jifunze na wewe sio kulalamika tu!

    ReplyDelete
  10. Mwanakijiji harakati za sasa Tanzania ili ziwafikie walengwa wote zinaitaji lugha ya kueleweka kwa wote nacho ni Kiswahili.Inayemuhoji ni Mtanzania sasa kiingereza cha nini.Hatuitaji tafiti kujua kwamba Dr Sla "kizungu" anakijua. Tunazarau lugha yetu mpaka Rais Joachim Chissano anatusemea Kwenye mikutano ya kimataifa. Kwa hili umechemsha.Inawezekana walengwa wako walikua ni watu wa nje, lakini kama unawalenga watanzania hapa umechemsha. Pole.

    ReplyDelete
  11. kama hawa ndiyo vioo vya jamii tutafika kweli? mwanakijiji siyo kasumba ila ni ulimbukeni.

    ReplyDelete
  12. marais wangapi hawaongei kiingereza duniani na ni viongozi wazuri tu? Nasikia kinyaaa.

    ReplyDelete
  13. Mahojiano si yalikuwa ya Dr. Slaa na mwanakijiji? Mbona naona picha ya Dr. Slaa peke yake. Natamani kweli kuona picha ya mwanakijiji kwa udhoefu wangu watu wengi wenye sura mbaya huwa wanaamua kuwa wapinzani.

    ReplyDelete
  14. Oh!! my DOG this mwanakijiji is more than worse the way he is speaking English, Kanumba is much better than him. Dr. Slaa please do not repeat again to be interviewed by this arrogant, with his bad english the whole interview has been spoiled. Naungana na wale wote wanaomtaka huyu mwanakijiji atumie Kiswahili since he does not attract listners with his bad accent and brokrn english.

    ReplyDelete
  15. Nakubaliana na aliyesema haya majadiliano ya lugha ni Pumba tu...!Anayeingia kwenye internet anajua kiingereza na huu mjadala umelenga wanaofuatilia e media. Huyo mtanzania wa kawaida mnayemtetea kwamba hataweza kuelewa haya majadiliano haingii kwenye internet, kwanza hata umeme wenyewe shida!

    ReplyDelete
  16. Sidhani kama audience ya Mwanakijiji ilikuwa Watanzania. Ilikuwa kwa ajili ya world media. Ndio maana ilitokea mpaka CNN na vyombo vingine vya kimataifa vya habari. Habari nzima inapatiakna hapa: http://ireport.cnn.com/docs/DOC-563695 . Kwa kuwa zaidi ya asilimia 90 ya world population, wanazungumza na kukielewa Kiingereza, then ujumbe kwa walengwa utakuwa ulifika.

    ReplyDelete
  17. Wachache mlioandika hizi comments wana akili za kuwatosha wengine bado kabisa kwani lugha ni nini? angalia ujumbe na sio lugha. kwani watanzania walioko tanzania hawaelewi nini kinaendelea? Lengo la Mwanakijiji na Dr Slaa ni kufikisha ujumbe duniani na sio tanzania tu! Fikirieni kabla ya kukomenti. Mimi nilidhani maada ingekua walicho kiongelea sasa naona asilimia kubwa ni kiingereza kwani kingereza nini? mbona kenya wanatumia kiingereza? kwani wao niwaingereza? kingereza ni lungha ya kimataifa, ni lazima mataifa yote yaijui. samahani kwa wewe usiejua kingereza angalauu kidogo cha kuombea maji, Youtube wanfundisha free hulipi chochote na walimu kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Huu ni muda wa kuanza kuyatafutia matatizo ya tanzania ufumbuzi kama kenya wanavyo fanya, rushwa imepungua kenya kwa vile media wamepewa freedom na sio kubanwa kama tanzania.

    ReplyDelete
  18. Nadhani nchi zote zenye maendeleo matumizi ya lugha ya kingereza ni muhimu. Nakubaliana Lugha ya taifa ndio watu wengi wanailewa lakini tukitaka kutoka katika umasikini na maendeleo yasiyo na mipaka wananchi inabidi waanze kusikiliza kiingereza pia ili kuanza kusoma. Ujuaji lugha ni kisomo na faida kwa wananchi na nchi huko mbeleni. (Mdau Wichita)

    ReplyDelete
  19. wabongo bwana. Sijui baba na mama mmoja. Lugha lugha lugha come on. Ujumbe ndo la muhimu. Mngejadili ujumbe. Wabongo english kwao ni kama sijui nn. Yani ukiwa mfano kwenye daladala hafu upigiwe sim na mtu asieongea kiswahili, ukitaka kuwajua wabongo hata kama walikuwa wanasimuliana story hukatisha kukusikiliza. Badilikeni. Cha muhim ujumbe come on.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...