Je, wataka kufahamu jinsi ya kutengeneza chapati maji za unga wa mchele na mchanganyiko wa choroko? Ama wataka kujifunza kutengenza biriyani ya kuku kwa njia ya kisasa? Basi usitie shaka. Chef Issa anarudi kwa kishindo kukueleza yote hayo na mengine kibao hatua kwa hatua
BOFYA HAPA
BOFYA HAPA
Yammy yammy kijana ana rock
ReplyDeleteChef Issa uko juu unatusaidia sana kinamama mola akupe nguvu na moyo huo huo wa imani ya kujitolea amiin.
ReplyDeleteHi doing young dynamic Tanzanian Execative chef, we real proud of you brother keep up the spirit. Super inetrnation combnation of recipes. Your compitent with your profession.
ReplyDeleteGood boy
Netherland
We love you chef mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDeleteInatia raha sana kuona chef kijana kama wewe na unajivunia utaifa wako, mungu akulinde na uendelee kukua zaidi na zaidi katika fani yako.
ReplyDeleteTunamachef kibao watanzania wapo nje lakini hawan mchango wowote na fani hii hapa nyumbani sijui ni uchoyo wa elimu au uwezo mdogo au basi tu hakuna mwanga wa kuweza kuelimisha.
familia nyingi sana zinafaidika na mafunzo yako ya bure na safi sana. kweli unaipenda fani yako na unaiweza kaza buti ufikie mbali zaidi.
Mama Sam
Greece
What a helpfull recipe chef, sikujua tunavichwa vya kitanzania baab kubwa katika fani hii adimu na adhimu. Big up and keep it up.
ReplyDeleteMdau
USA
CULINARY CHAMBER THE PLACE TO BE, THIS IS LIKE MY HOME PAGE. THANK YOU SO MUCH CHEF KAZI NZURI SANA.
ReplyDeleteMDAU MUNICH
Mdogo wangu hongera sana kwa juhudi unazozifanya za kutuelimisha jinsi ya kupika vitu mbalimbali.Mungu akusaidie uendelee zaidi ya hapo ulipofika sasa.
ReplyDeletechef Issa Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Mungu akubariki sana. Leta mapishi mengi tu hapa.
ReplyDelete