
Spika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania Mh. Anne Makinda ametoa ufafanuzi mahususi leo kuhusu jina lake lililokuwa aidha linaandikwa Anna ama Anne, na amesema kuwa jina lake ni Anne.
Mh. Makinda ametoa ufafanuzi huo, akijibu swali la Globu ya Jamii, baada ya kufungua semina ya siku mbili ambayo Bunge limeandaa kwa waandishi wa habari katika hoteli ya Millenium mjini Bagamoyo.
Mh. Makinda ametoa ufafanuzi huo, akijibu swali la Globu ya Jamii, baada ya kufungua semina ya siku mbili ambayo Bunge limeandaa kwa waandishi wa habari katika hoteli ya Millenium mjini Bagamoyo.
Na mimi ni Kajubi Mukajanga sio Kajubu Mukajanga.
ReplyDeleteHii kali kuliko, maana Mheshimiwa Spikaa ANNE sio ANNA, alikuwa katika ngazi ya uongozi tangu miaka ya themanini, ENZI ZA MWALIMU, na siku zote hizo tukimjua kwa jina la ANNA MAKINDA, kuna nini ambacho kimesababisha hadi atoe ufafanuzi wa linavyotamkwa jina lake leo hii?
ReplyDeleteHivi hata CCM waliompitisha kugombea Uspika nao walikosea kumuweka mtu ambaye nao walikuwa hawajui kutamka jina lake?
Kumejiri nini jamani hadi LEO 2011 atufafanulie jina lake.
Hata hivyo hilo la ANNE nalo limekaa vizuri Mheshimiwa ANNA MAKINDA, nalitaja kwa mara ya mwisho.
hayo ni matamshi tu, jina ni lile lile.
ReplyDeleteHilo ni jina tu na ndivyo lilivyo sema tu watu walikuwa wanaliandika kimatumbi zaidi ila yeye anataka kizungu
ReplyDeleteso what if its Anne or Anna?ina impact gani kwa maisha ya watanzania wa kawaida?
ReplyDeletewe anony Fri Mar 11, 04:20:00 PM 2011, jina la mtu ni kitambulisho muhimu mno. umuhimu wa matamshi na herufi sahihi katika jina kamwe hauwezi kuhusishwa na siasa.
ReplyDeletemie ni mtanzania wa kawaida lakini ukikosea jina langu tena kwa makusudi, huwa nasononeka sana.
NA MIMI NAITWA MASOUD SIO MASSUD WALA MASSUDI SAWA HAPOO
ReplyDeleteMama ngoja tukueleweshe na wewe umri wote huo siku zote hujui kwamba ANNA na ANNE ni jina hilo hilo moja tu. Ukisema ANNE unalitamka jina hilo kwa Kifaransa na ukisema ANNA unalitamka jina hilo kwa kiingereza. Kila lugha ina jinsi ya kulitamka jina mfano Peter (kiingereza)au Pierre (kifaransa.Anthony (kiingereza)au Antoine(Kifaransa).Francis (kiingereza)au Francois (kifaransa). Mama usiseme watu wanakosea jina lako bali useme kuwa unapendelea jina lako litamkwe na kuandikwa kwa kifaransa ANNE badala ya kutamkwa na kuandikwa kwa kiingereza ANNA.
ReplyDeleteHiyo ni pronunciation tu, Kwanza sasa hivi alivyobadilisha spelling hiyo anne kimatumbi watasema ennai au anni badala ya anne kama anavyotaka...
ReplyDeletewell ni jina lake na ana uhuru wa kulibadili atakavyo ...ulaji kwa watunzi wa vitabu vya historia na shule b print new books...mu discontinue vyooote vyenye jina la zamani ...hhhhaaaaaa hhhh
Anna \a(n)-na\ as a girl's name is pronounced AN-ah. It is of Hebrew origin, and the meaning of Anna is "He (God) has favored me".
ReplyDeletebe out of the country you will know the meaning of correct spellings of your name,utakaponyimwa huduma muhimu kutokana na spelling moja kwenye cheti chako au viambatanisho vyako kuwa tofauti na pasport yako utaimba inde monii,utajua nini anachozungumzia
ReplyDeleteMUHESHIMIWA SPIKA WA BUNGE LA JAMUHURI YA TANZANIA/TANGAYIKA "A. MAKINDA"
ReplyDeleteJINA NILAKO UNAHAKI YA KUBADILISHA HERUFI KWENYE JINA HAKUNA MATATIZO.
KUMBUKA KWAMBA KUNAWATAKAO KUITA "ANNA" (WAKIMAANISHA ANNE) KUTEGEMEA NA LAFUDHI YA KABILA YAO/MAZINGIRA YAO HASWA WATANZANIA WA VIJIJINI[USIKASIRIKE]. VITABU/MAGAZETI/MAJARIDA/ VILISHAANDIKWA KWASABABU UNAHISTORIA NDEFU KWENYE SERIKALI.
HAPO BADO WACHINA, KWASABABU WAMEJAA HAPO TANZANIA, NA SIJUI KAMA UMEWASILIANA NAO JINSI YA KULIANDIKA "KWA KICHINA NA KULITAMKA"
SITAKI KUZUNGUMZIA "WAHIDI" JINSI WATAKAVYOLITAMKA/LIANDIKA.
""NAKUSIHI MWAMINI MUNGU ALIYEZIUMBA MBINGU NA NCHI"" NA HAYO MENGINE UTAZIDISHIWA.
Anony wa 10:54 Ni kweli kabisa, Lucy ni Kiingereza, Kifaransa inaandikwa Lucie lakini matamshi ni yale yale.
ReplyDeleteNi kweli, tofauti ya herufi moja kwenye jina inaweza kukulazimu kutoa kiapo na sio nje ya nchi tu, ni suala la kisheria. Ila Mama yetu umechelewa sana kutufafanulia.
ReplyDeleteJamani sasa yeye si anataka kuitwa ANNE hata kama ni kifaransa au kijapani. Mimi naitwa Ndunguru embu nisaidieni wadau kuliweka hili jina kifaransa zaidi...Ndunguree
ReplyDeleteNdunguru kwa kifaransa litaatamkwa hivyo hivyo ila kimaandishi litandikwa Ndoungourou.
ReplyDeletembona unachagua maoni ya kuweke, unatunyima uhuru wa kuchangia hoja, hujawahi ku-post maoni yangu, kulikoni? Usichague kwani sio mawazo yako ingawa ni libeneti lako michuzi akaaaa
ReplyDeleteNyie mnao jifanya wataalam wa lugha ni waulize mfano mtu unaenda kuomba visa ya kusoma nje,pass yako umeandika anne,dokoments za shule anna,je una fikiri watu wa ubalozi watakupa viza,no utaonekana unatumia dokoments za mtu mwingine kuomba viza,sasa ndo kusema utakuja na hizo arguments zako za lugha...acheni hizo jina ni id its should stand as it is in your birth surtificate so as other dokoments na hata magazetini,unataka kuniambia magazeti ya kifarasa yanachange jina la mtu na kuandika kifaransa au magazeti ya uk yanabadilisha jina lamtu nakuandika kidhungu no,jina linabaki kuwa vile lilivyo tokeni nu bulshit zenu za lugha
ReplyDeleteSawa kabisa Mh. Anne, sasa mh kwenye kuapa alitamka Anne au Anna Makinda, kwahiyo inabidi waheshimiwa wangalie upya majina yao..
ReplyDeleteHayo yote ni matamshi tu, usichukie mheshimiwe.
Watu wana keep goodwill yeye anajitenga na jina lake ambalo lilikua linajulikana toka elfu lela ulela. Mimi nisingejua huyu ni yule yule tuliyekua wadogo tunasoma shule alikua kiongozi huko huko.
ReplyDelete